Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
JF is never boring
 
Ha ha ha ha ha ha !!! Kwi kwi kwi kwi!!!!

Da, sio mchezo!
 
Kama anaendelea kujamba please mlete kwangu mm ninanyo dawa aje akae kwangu cku 7 tu akirudi kwako hajambi ila kwa dharura tu
 
hahhaha nakumbuka mashindano ya kujamba tukiwa o level ilkuwa balaa tukitoka prepo..maana kulikuwa na sauti za filimbi,chura,kondoo ,pikipiki,trecta,jogoo akiwika ...mpaka kengele watu walikuwa wanashuzika balaa
 
Mwambie abong'oe usije kuta shimo tu huko maana mademu wa kibongo bwana kwa kugawa kisamvu utafikiri ndiyo wao walioanzisha huu mchezo kwani hawataki kupitwa. Ukikohoa tu, atakuuliza wataka kisamvu cha kopo?
 
huyo atakuwa anajiachia sana kwenye misosi kila wakati tumbo lipo full.mwambie unataka kuongeza mke mwingine appetite itaisha na uchafuzi wa hewa utakoma.maana hata maji atakuwa anakunywa kwa shida

hahahahahaha Smile Smile hahahahahahaha umenichekesha sana! Kweli atakuwa anakula sana maharage na mayai!
 
Last edited by a moderator:
Mbona mimi nakufahamu sana mimitungi nitakuja nyumbani kwako nikushauri vizur ila kumbuka uliapa kanisan kuwa mtapendana katika shida na raha mpaka kifo.unatia aibu mzee mwezangu kwa post hii!
 
asipojambia kwako atajambia kwa watu wa pwani na watamnunulia gari ,, shauri yako ukubwa ndo huo kijana acha kumdhalilisha mkeo labda na wewe domo lako lanuka mbaona hajaja humu kukunanga?? subra katika ndo muhimu na kwakweli kero ukiipaka mafuta uzuiri yaweza nukia ,, chukulia positive utaona anaacha labda anacheza na mihasira yako ukijifanya hujali ataacha
 
hahaha we mwanaume mbona unatoa siri za ndani,wee bado kijana umri wa kuoa ulikuwa bado
 
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help

Sijui kama kuna mtu kauliza huko juu,

Lakini we kwanini ufungulie mlango wageni wakati harufu haijaisha? 😀
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom