Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusema wamepasi tayari duh
Nitajie njia hiyo mkuu.Hivi ulio oa au uliozeshwa....!! Coz sidhani kama kweli ulijipanga kweli na ukaoa, ungetumia hii njia kutafuta suluhisho
and we dare to talk openly.!!
Hebu muache apimue
Unabipiwa huelewi....sijui afanye nini tena ili ijue kuwa anahamu....
Du kaka hapo pa kuzoeana mi naona chanzo ni wewe umepoteza u serious na Msimamo ndo mana inakua ivyo kwasab hawa wapenz zetu/GF zetu ukiwa serious kwa kiasi na msimamo kwa kiasi huwa wanakua na nidham na adabJust amanizoea mpaka anakosa ustaarabu
Kuna uwezekano raia wamekula ile haramu ndio maana njia imeachia....ni theory tu nimetoa miss chagga....
if u want to practice ask me later
Kwenye hiyo bidhaa....i will pass....thanks for the offer :A S 13::A S 13:
i dont give the offer aisee uwiiiiiii:crying::crying::crying::crying: