Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nikajua wataka kunipatia hiyo bidhaaa ndio maana nikakimbia.....
yani me nitoe offer ya kupigwa pasi rafiki bye:crying::crying::crying::crying: bye siwezi vumilia haya
yawezekana so maksudi ana tatizo na tatizo laweza kusababishwa na nguvu za giza mpeleke walokole wamuombee kama ni pepo litatoka atakuwa saw a.yani me nitoe offer ya kupigwa pasi rafiki bye:crying::crying::crying::crying: bye siwezi vumilia haya
wewe watoa offer za aina gani kwani.....
za bia tu mkuu
yawezekana so maksudi ana tatizo na tatizo laweza kusababishwa na nguvu za giza mpeleke walokole wamuombee kama ni pepo litatoka atakuwa saw a.
Bia pekee haitoshi....lazima kuwe na muendelezo kidogo....
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
we ukipew bia lzima ukae kati?
Nikipewa beer pekee haitoshi....mengine yapo classified kusema hapa
duh aya usijali utasema sirini ndo mpango mzima
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
achana naye oa mwingine asiyejamba
saizi tena sio siri tumejua kuwa mke wake anatumia tigo
Nitawaelezaje wazee? Niwaambie mke wangu anajamba? Ndio maana nimeileta hapa ambapo hatufahamiani kwa sura.
usikatae tu lakini.....
...
...HIYO ITAKUWA ANA PANJA ya MIN KABANG.... mzibe kidigo kwa SUPER GLUE....
Mi sijaoa bado lakini jambo ulilolifanya sio powa hata kidogo. unamshushia heshima mkeo kwanza wameshamtukana sana hapa... "ooo mara azibwe na gunzi" yaani mkeo amekuzalia mtoto unamshitaki kwa kesi ya kujamba.... ukimfumania si ndo utaenda kwa raisi wa nchi..... "i think you are kidding and you are not serious" japo umeoa mi sijaoa ila "when you grow up once more you will step aside with these bullshit you are doing now"....
Ikiwa unashindwa kuwaeleza wazee wako au wake kama karaha zimekuzidi ili waongee nae basi stahamili tu, mwenzio anajuwa una enjoy.