Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza kumpa kunde
hayo ndio mambo ya KUVUMILIANA ktk ndoa so usimharibie pozi mkeo aisee! muache ajiachie kwa raha zake kuna wengine hawapati huo ushuzi sasa km yeye anapata muache, mpe uhuru, sio maradhi hayo kaka..ni km kupiga miyayo tu...ok?
Hilo ni tatizo linalotibika ni matokeo ya undigested food that remain in the gut for long njoo wewe na mkeo mi nitawatibu
Mkuuu hiyo mbona simpo.. .nunua hindi la kuchoma ukimaliza kula tumia gunzi kuzibia kijambio chake
Angalia vyema....inawezekana watu wameondoka na kizibo ndio maana anajamba sana mkuu....
Kwani hilo ni tendo la ajabu kwako? Au ndio ustaarabu wa kijinga huo haya aliejamba na alieleta hiyo habari humu jf nani mjinga?