Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Ok ila upo serious, na unahitaji ushauri... ungespecify education level ya huyo mke wako, kama shule hamna basi tatizo tutajua anakosa ustaarabu... tafuta siku muweke sawa huku umevaaa sura ya kiume halafu muambie aache mambo ya kifala, amashakua mtu mzima aache kubehave kama mtoto... huenda atakuskia ..... Halafu usiwe na mazoea naye sana, huenda anakuchukulia poa sana ndo maana anafanya huo ujinga..

Haya makubwa yaani asiwe na mazoea na mkewe...so akawe na mazoea na nyumba ndogo aka choo?...maana kule kwetu mpui nyumba ndogo hujengwa pembeni ya nyumba kubwa na matumizi yake ni kujisaidia

Unajua sie wanaume wa ajabu sanaa, yaani mtu analishwa na barmed tena mchana kweupe but akilishwa na mkewe hataki....

Nyumba ndogo ikikujambia mpaka hata mdomoni unachekelea tuu kisa inakupa pampuchi any time u need....mkewe wa ndoa uliyepewa na muumba wako unaona akijamba ni kero...
 
Kwa hiyo wewe unampa ushauri gani?
 
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help

Kwani we hujambi mkuu??
 
Hana adabu muonyee tu usimuache hilo ni tatizo dogoo maana mi nlidhani akijambaaa unakosa hewaa unazimiiaa
Je kwenye mambo yetu yale huaa anaajambaa????
 
Kila kitu huwa kina maana yake,na kila mwanamke anatoa dalili zake za kutaka kugegedwa labda yeye anatoa dalili hii ili ujuwe kuwa ana hamu ya dusheshe so chunguza ushuzi unalia sauti gani ?
 
Hahahahah
 
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help

we ndo mumewe bana ajiachie kwa nani zaid yako!? yupo huru mbele yako kutoa gesi aina zote kuanzia za saut mpaka zile za kimya kimya!! ila mbele ya hadhira noma!
 
hakuna kipindi kinachokosa matangazo/wadhamini. So wacha mkeo atoe wadhamini asee.
 
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
muza

kuvumiliana beba ndo mzigo wako
 
Wana JF naomba dawa ya kukoroma. Siwezi lala ugenini kwani ni Aibu. Wenye mzaha waache nipate ushauri constructively pls!
Jaza magazeti mdomoni lala nayo kamq unatafuna hivi pili waone technician wa meno wale wanaochonga meno bandia wana vifaa watakutengenezea kuendana na size ya domo lako ambqcho kinazuia kukoroma baada ya muda ukitumia mdomo unazoea jipange siyo ishu ya sh elf kumi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom