Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe sikatai
Kaka ake mie naomba nielekezee hiyo ya kunywaa maana labda na mie ntaanzaa kujambaa mbele ya shemeji yako
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help
Mungu akuponyeshee,pili nenda Pharmacy wanazo zipo kupackti ivi unatia katika glass ya maji huyayuka "kama zile mfano wa Andrews liver salt " zenyewe zina flava za mauwa,matunda,nk. ukiweka kumaji huwaga ina fuka mfano wa soda tamu....ukikosa mie ntakuletea bila noma! ikusaidie tu.. pole na hali ya slow gesi productions!!
haya twende basi....mida ndo hii
jana uliniacha bar mbona ukamchukua yule binti mwingine
sio mimi....ni bia zilifanya hivyo
ulikuwa unacheza kiduku kumbe ukizidiwa na pombe nakuwa vile duh
zote bia tu...sasa hivi zimeondoka....njoo basi muda huu
na mtoto aachie loh hiyo nyumba itakuwa balaaaaahuyo ni wakwako tu ndoa ni mwili mmoja hivyo la msingi hapo akiachia na wewe achia ili iwe ngoma droo...
sa hivi utakuwana aibu bwana shtua kidogo basi
Nikistua mziki utapungua nguvu....hivi hivi yatosha baba lao