Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
mm nikizani anajamba wakati wa tendo la ndoa bwana kama kawaida tu mwambie awe anabania
 
Hivi ulio oa au uliozeshwa....!! Coz sidhani kama kweli ulijipanga kweli na ukaoa, ungetumia hii njia kutafuta suluhisho
 
Hebu muache apimue

afu ni jambo la muhimu sana nakumbuka nkiwa nimefanyiwa operation tumboni kipindi flan daktari alipita kunijulia hali akaniuliza km najamba nkaona aibu eti kujibu akaniambia usione aibu ndo nataka kujua maendeleo yako mama
 
Unabipiwa huelewi....sijui afanye nini tena ili ijue kuwa anahamu....

Partake in regular fart competitions, the whole damn family with them kids too. The winner is who can fart the longest and loudest; runner-up goes to the stankiest fart. How about that?
 
Mi sijaoa bado lakini jambo ulilolifanya sio powa hata kidogo. unamshushia heshima mkeo kwanza wameshamtukana sana hapa... "ooo mara azibwe na gunzi" yaani mkeo amekuzalia mtoto unamshitaki kwa kesi ya kujamba.... ukimfumania si ndo utaenda kwa raisi wa nchi..... "i think you are kidding and you are not serious" japo umeoa mi sijaoa ila "when you grow up once more you will step aside with these bullshit you are doing now"....
 
Wana JF naomba dawa ya kukoroma. Siwezi lala ugenini kwani ni Aibu. Wenye mzaha waache nipate ushauri constructively pls!
 
Just amanizoea mpaka anakosa ustaarabu
Du kaka hapo pa kuzoeana mi naona chanzo ni wewe umepoteza u serious na Msimamo ndo mana inakua ivyo kwasab hawa wapenz zetu/GF zetu ukiwa serious kwa kiasi na msimamo kwa kiasi huwa wanakua na nidham na adab

Af labda kwenye mambo ya tendo humpi haki yake sawasawa ndo mana heshima na adab amuna

Huo ni mtazamo wangu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom