Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.

Hhahahahaahahahahaha. Kwakweli jf raha sana aseee yaana nimecheka sana

Lakin kaka we ni tajiro sana yaana ukiweza kumpeleka mkeo Korea kaskazin wanawahitaji sana watu wenye uwezo kama huo kwa ajil ya kutengeneza bom la Atomic

Kuna makala moja nilisoma kwenye gazeti kuhusiana na kujamba ni hewa hiyo inafaa sana kwa kutengeneza bom la atomic
 
mie sishangai sana na hayo ndio matatizo ya matumizi ya TIGO, umuoe mwenyewe umuharibu mwenyewe halafu sie tukutafutie dawa. acha kumchezea.
 
na wewe fanya mpango wa makusudi ule vyakula ambavyo vitachafua mazingira sana usiku gibugubi
 
Huyo anajibu mapigo yako ya usiku. Wewe unajamba usiku ukiwa umelala yeye anajamba mchana ukiwa unashuhudia. Alafu usimle jicho.
 
jaribu kumshauri apunguze vyakula vya jamii ya kunde,alafu kila usiku ajitaidi kwenda haja kubwa bila shaka ataacha tu.
 
Ukiogopa kujamba mbele ya mumeo, utajamba mbele ya nani? Mimi wa kwangu ruksa tena kama yupo karibu nayapanua mafiga mawili ili utoke vizuri....
 
Ukiogopa kujamba mbele ya mumeo, utajamba mbele ya nani? Mimi wa kwangu ruksa tena kama yupo karibu nayapanua mafiga mawili ili utoke vizuri....

Halafu unajifunika nae shuka moja ndo unauachia ili harufu imuingie vizuri.......lol
 
nsheeejuaaaa.....huyo ankubeeep MPIGE 0715.... atanyamaza hatajamba tena.
 
Swali, wakati mnaoana, tayari mkeo alikuwa na tatizo hilo? Kama jibu ni ndio, mimi kwa mtazamo wangu naona hapo kuna shida katika malezi aliyopewa huyo mkeo kwa wazazi au walezi wake kabla ya ndoa. Kwani nina imani kipindi mtoto anakuwa wazazi huwa wanamwelekeza wapi ni sehemu sahihi ya kujamba kama vile chooni na sio mbele za watu na pia hicho si kitendo cha ustaarabu kujamba mbele za watu. Hivyo mtoto anapokuwa anakuwa anaelewa hivyo. Na pindi mtoto akikosea na kujamba mbele za watu basi wazazi/ walezi huendelea kumrekebisha mpaka anaelewa na anakuwa hana shida hiyo. Na endapo mkeo amekuwa na tatizo hilo la kujamba ovyo baada ya kuolewa basi yeye mwenyewe angekuwa wa kwanza kuona kuwa hiyo hali sio ya kawaida na angekujulisha wewe mwezi wake mapema kwa lengo la kupata ufumbuzi.
 
Mwambie ajiminye anapotoa ushuzi asitoe harufu kali in otherwayround ni afya hiyoimgekuwa anatoa ushuzi kipindi cha yendo la ndoa tungedema ni mtu wa kabang
 
ukiona umedumu na mpenzi wako kwa zaidi ya miaka mi3 na kuendelea na hajawahi kujamba mbele yako achana nae faster, kama anaficha kitu kidogo namna hiyo ni vingapi atakuwa ameshakuficha!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…