Naka boy
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 321
- 110
Mzee Mwanasiasa,
Kitu kimoja ni clear kwa viongozi wote waliochaguliwa na Mzee JK, ukipaka hurudi tena, nenda mawizarani utaona huo ukweli hakuna anayecheza, ni waziri wa fedha peke yake ndiye untouchable, wengine wote ni Mungu nisaidie,
JK amefukuza viongozi wa Mkapa, na the message is very clear kwa viongozi wote kuwa ukicheza ni on your own risk, ndio uongozi I mean huenda Mzee JK ana mapungufu katika sehemu zingine kikazi lakini at least la muhimu kuliko yote ya kuoneana aibu na kuhamishana hiylo hana, nilikuwepo kwenye mkutano pale foreign wakati anamwambia Asha Rose kazi ya kuwarudisha mabalozi niachie mwenyewe, Mkapa dakika ya mwisho anawahamisha marafiki zake kina Moses kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine na wameshakaa huko nje miaka kibao! JK amesema mbele ya public kuwa maika minane ya ubalozi inatosha, watu warudi wengine waende nao!
Mzee Filga,
Ahsante sana, lakini ninaelekea ukingoni, lakini nitakuwepo nikiwepo au ikibidi!
Kwa wazee wote wa BCS, ndio kwanza tumeerudi bongo bado jua ni lile lile, sasa ngoja tutulie kidogo tuone njia iko wapi, maana kile kijiwe ni marehemu sasa ngoja tuone kwanza,
ahsanteni wazee!
Hhahahahaahahahahaha. Kwakweli jf raha sana aseee yaana nimecheka sana
Lakin kaka we ni tajiro sana yaana ukiweza kumpeleka mkeo Korea kaskazin wanawahitaji sana watu wenye uwezo kama huo kwa ajil ya kutengeneza bom la Atomic
Kuna makala moja nilisoma kwenye gazeti kuhusiana na kujamba ni hewa hiyo inafaa sana kwa kutengeneza bom la atomic