Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Tatizo pia mijiwananawake ya siku hizo asikimia kubwa ni hovyo kabisa zamani hata mtu mzima ulikuwa huwezi muona anaingia chooni kujisaidia, licha ya kujamba hazarani mbele ya mumeo, itaniwia ngumu kidogo kuto kuwaza inawezekana misuli imelegea na kama imelegea lazima ujiulize imelwgezwa na nini? Fikiria na chukua tahazari inawezekana kabla ya kumuoa alikuwa na kale kamchezo kale
 
we mkaka una lako jambo hiyo sio sababu ya msingi ya kutaka kumuacha mkeo... nenda nae hospital sa ingine ni tatizo la kiafya..
 

Hajambi mbele za watu anajamba mbele ya mumewe. Kuna tofauti
 
Jaman mtoto naye anaweza akaiga tabia za mama huko baadaye...!
 
Hiv huyu jamaa anasikia hata akiwa anakula sembe au anamaliza afu ndo Unasikia
 
Au kitolea hewa chafu kimelegea kinatoa ovyo ovyo, au ulishatumia mlango wa nyuma manake hayo ndio madhara yake sasa
 
akiendelea mfululizo anaweza kutengeneza bomu la atomiki... weka spray kila kona akiuachia unapuliza air freshner..
NB: unaweza kuspray ukachanganya harufu natural na artificial epuka kuspray kwa wingi
 
Akijamba na ww jamba,inakuwa ni sehemu ya michezo yenu km wanandoa ivyo hutoona kero tena

unakuta mke anajamba shuzi refu kama morogoro road..utaomba mchezo usitishwe mara moja
 
tuambie anajamba kijambo gani tujue tatizo,waaa,pfuuu,tratratraaa,pyuuuuu nk
 
ukipenda boga....ingekuwa anachepuka ingekuwa issue but KUJAMBA?...ina maanisha huo ni MZUKA unapanda akuonapo yaani ANAKUFEEL hadi ANAJAMBA...!imekaa KIMAHABA zaidi...ndo maana anajamba ukiwa naye tu...HAJAMBI kwenye kadamnasi ya watu,big up jembe...!
 
we ----- kwel ndo mapenz hayo karibu Tanga ujambiwe na utiwe kidole kwene 0715
 
MTOA MADA SOMA HII ITAKUSAIDIA.....
Kwa wanaojua wanajua hiyo ni dalili nzuri,kwanza wewe ndo ulitakiwa kumfanya awe huru kabisa mbele yako in the first place.hiyo huwa inawajengea picha wanawake kujiona wako salama mbele ya waume zao,hivyo kua huru kufanya lolote mbele yako kama hivyo kujamba,kua huru kukojoa(haja ndogo) ukiwa unamuangalia nk.hayo mambo pamoja na mengine mengi yatafanya mind ya mwanamke wako kua relaxed wakati wote anapokua na wewe,na ni relaxation hiyo ya nje ya kitanda itakayomfanya kurelax zaidi na kua huru mkiwa kitandani.relaxation hiyo na uhuru huo kitandani ndo kichocheo kikuu cha kuamsha hisia kali zaidi ndani yake,hisia ambazo zitafanya iwe ni rahisi kwako kumpa orgasm after juicy orgasm,na hata squirting orgasm(the queen of orgasms,ambayo wanawake wengi huwa ni kama wanajaribu kuizuia hasa pale wanapokosa huo uhuru nliosema awali,mana kama usipojua aina hii ya orgasm ilivyo unaeza ukamuita mwanamke wako kikojozi,maana ukiangalia kwa haraka akiwa anasquirt unaeza dhani ni mkojo unaotoka).kwa kufanya hivi sio tu kwamba utakua na uhakika wa kua na mwanamke ulienae for as long as you want,lakini pia atakua tayari kukupa au kukuonyesha kila anachokijua kitandani katika kujaribu kukuridhisha kama ulivyotoka kumridhisha,na kwake utakua ni one of the best lovers she ever had.kumbuka wanawake wote wanaendeshwa na hisia.hizi ni advanced techniques.
So hapo tatizo sio yeye,ni wewe jombaa,jiongeze.usipokua makini utakua umempa kila sababu ya kuchepuka kutafuta anaeendana nae na anaejua kucheza na mind yake wakati wote,ndani na nje ya kitanda,na hivyo kufanya mind yake iwe relaxed wakati wote.
Najua maelezo ni marefu,ila SOMA YATAKUSAIDIA.asante.
Off i go.....
 
ukiona unaishi na mpenzi wako for quite a longtime halafu hujawahi sikia au hata kuhisi kuwa amejamba, kaa ukijua kuwa mpenzi wako ni msiri na hayuko free na wewe n' mind you, hicho ni baadhi ya vitu vingi vya siri ambavyo amekuficha, so relax that is something to shout about!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…