nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Atakuwa bonge huyo I guess
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kujamba kuna tatizo gani mkuu?Mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakini huu utani wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...
Nipeni ushauri wadau.... Nampenda sana mke wangu.
Mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakini huu utani wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...
Nipeni ushauri wadau.... Nampenda sana mke wangu.
Ngoja nichekee pembeni kwanza.
Haya maswali mengine Bwana! Hilo nalo lataka ushauri? Haya tafuta gunzi uzibe 🙂
Kujamba labda niwe usingizini otherwise siwezi mpk niwe peke angu.
Kwa hiyo ukiwa sehemu zenye mikusanyiko ya watu kama safarini, mkutanoni au kwenye ibada ukasikia hali ya hewa imechafuka unajua tayari wife keshafanya mambo! Au harufu ya ushuzi wa mkeo umeisha ikariri?