Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakini huu utani wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...

Nipeni ushauri wadau.... Nampenda sana mke wangu.
Kwani kujamba kuna tatizo gani mkuu?
 
Mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakini huu utani wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...

Nipeni ushauri wadau.... Nampenda sana mke wangu.

Ebu jaribu kutumia godoro Dodama
 
Angalia usikute ana vidonda vya tumbo gesi nyingi tumboni ni ishara mbaya.
 
Na akujambie tu hamna namna nasema na ajambe...au tukujambie na huku
 
Majibu mengine yanakatisha tamaa na kutia wasi wasi.
 
Kwa hiyo ukiwa sehemu zenye mikusanyiko ya watu kama safarini, mkutanoni au kwenye ibada ukasikia hali ya hewa imechafuka unajua tayari wife keshafanya mambo! Au harufu ya ushuzi wa mkeo umeisha ikariri?

Hahaaaaa!
Hili asilijibu
 
Una umri gani ndugu, maana yawezekana ukawa under 18 hata kama umeoa
 
HAHAHAH asije akwa anaachia ushuzi hata kwenye daladala huyo, uwiiiiiii lol
 
Hahaha...mvumilie mzazi mwenzako.Hakuna mkamilifu duniani..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom