Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ukimwacha huyo mkeo nibie mm nitambinfsisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali, wakati mnaoana, tayari mkeo alikuwa na tatizo hilo? Kama jibu ni ndio, mimi kwa mtazamo wangu naona hapo kuna shida katika malezi aliyopewa huyo mkeo kwa wazazi au walezi wake kabla ya ndoa. Kwani nina imani kipindi mtoto anakuwa wazazi huwa wanamwelekeza wapi ni sehemu sahihi ya kujamba kama vile chooni na sio mbele za watu na pia hicho si kitendo cha ustaarabu kujamba mbele za watu. Hivyo mtoto anapokuwa anakuwa anaelewa hivyo. Na pindi mtoto akikosea na kujamba mbele za watu basi wazazi/ walezi huendelea kumrekebisha mpaka anaelewa na anakuwa hana shida hiyo. Na endapo mkeo amekuwa na tatizo hilo la kujamba ovyo baada ya kuolewa basi yeye mwenyewe angekuwa wa kwanza kuona kuwa hiyo hali sio ya kawaida na angekujulisha wewe mwezi wake mapema kwa lengo la kupata ufumbuzi.
jaribu kumshauri apunguze vyakula vya jamii ya kunde,alafu kila usiku ajitaidi kwenda haja kubwa bila shaka ataacha tu.
Makubwa!!!!
Akijamba na ww jamba,inakuwa ni sehemu ya michezo yenu km wanandoa ivyo hutoona kero tena
tuambie anajamba kijambo gani tujue tatizo,waaa,pfuuu,tratratraaa,pyuuuuu nk