Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.

we jamaa nime kudharau sana aisee mambo ya mkeo una yaweka jamvini hapa huko ni kumdhalilisha mkeo ipo siku utakuja kusema mkeo hajui kuoga mara nini sijui......jifunze kutunza siri na madhaifu ya mwandani wako we unadhani na yeye akija hapa jf akaja kukuanika kua una tabia flani unadhani hiyo ndoa ita kuwepo? pumbav.u sana.......narudia kusema nime kudharau sana tena sana kama kweli ulicho posti ni cha ukweli maana MMU kuna post nyingi hazina ukweli ni kufurahisha jukwaa tu.
 


lakn.syo kujamba bhana
 

kusanya gesi kwa ajili ya kupikia
 

Word nisingesoma hii comment ningechangia kwa hili ni ukweli. Niongeze kidogo tu hapa: Kujamba ni kitu cha siri/aibu ndo maana huwezi jamba buuuhh mbele za watu lakini ukiona mkeo yuko huru kujamba mbele yako ujue huyo ni muwazi hata kwa mambo mengine na yuko huru akificha hili ujue hapo noma kuna kamfano kamoja naweza kusema ukimuonea aibu mtu mnaelala uchi nae ujue hapo kuna siri imefichika
 
Kujamba labda niwe usingizini otherwise siwezi mpk niwe peke angu.
 
Hahahahahahaha...JF is never boring...ndo mana JF kama haipatikani hua naugua
 

...ni mkeo kweli?umemchunguza vema?asije akawa anagawa ta.ko nje ya ndoa....na hivyo kuwa amelegea nyuma na hivyo kushindwa kujizuia mashuzi....fanya uchunguzi ndugu..acha kulalamika...
 
Kwa hiyo ukiwa sehemu zenye mikusanyiko ya watu kama safarini, mkutanoni au kwenye ibada ukasikia hali ya hewa imechafuka unajua tayari wife keshafanya mambo! Au harufu ya ushuzi wa mkeo umeisha ikariri?
 
Mwambie akimaliza kula,asinywe maji mpaka baada ya dakika 30,tatizo litakuwa limeisha.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…