Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help

we jamaa nime kudharau sana aisee mambo ya mkeo una yaweka jamvini hapa huko ni kumdhalilisha mkeo ipo siku utakuja kusema mkeo hajui kuoga mara nini sijui......jifunze kutunza siri na madhaifu ya mwandani wako we unadhani na yeye akija hapa jf akaja kukuanika kua una tabia flani unadhani hiyo ndoa ita kuwepo? pumbav.u sana.......narudia kusema nime kudharau sana tena sana kama kweli ulicho posti ni cha ukweli maana MMU kuna post nyingi hazina ukweli ni kufurahisha jukwaa tu.
 
MTOA MADA SOMA HII ITAKUSAIDIA.....
Kwa wanaojua wanajua hiyo ni dalili nzuri,kwanza wewe ndo ulitakiwa kumfanya awe huru kabisa mbele yako in the first place.hiyo huwa inawajengea picha wanawake kujiona wako salama mbele ya waume zao,hivyo kua huru kufanya lolote mbele yako kama hivyo kujamba,kua huru kukojoa(haja ndogo) ukiwa unamuangalia nk.hayo mambo pamoja na mengine mengi yatafanya mind ya mwanamke wako kua relaxed wakati wote anapokua na wewe,na ni relaxation hiyo ya nje ya kitanda itakayomfanya kurelax zaidi na kua huru mkiwa kitandani.relaxation hiyo na uhuru huo kitandani ndo kichocheo kikuu cha kuamsha hisia kali zaidi ndani yake,hisia ambazo zitafanya iwe ni rahisi kwako kumpa orgasm after juicy orgasm,na hata squirting orgasm(the queen of orgasms,ambayo wanawake wengi huwa ni kama wanajaribu kuizuia hasa pale wanapokosa huo uhuru nliosema awali,mana kama usipojua aina hii ya orgasm ilivyo unaeza ukamuita mwanamke wako kikojozi,maana ukiangalia kwa haraka akiwa anasquirt unaeza dhani ni mkojo unaotoka).kwa kufanya hivi sio tu kwamba utakua na uhakika wa kua na mwanamke ulienae for as long as you want,lakini pia atakua tayari kukupa au kukuonyesha kila anachokijua kitandani katika kujaribu kukuridhisha kama ulivyotoka kumridhisha,na kwake utakua ni one of the best lovers she ever had.kumbuka wanawake wote wanaendeshwa na hisia.hizi ni advanced techniques.
So hapo tatizo sio yeye,ni wewe jombaa,jiongeze.usipokua makini utakua umempa kila sababu ya kuchepuka kutafuta anaeendana nae na anaejua kucheza na mind yake wakati wote,ndani na nje ya kitanda,na hivyo kufanya mind yake iwe relaxed wakati wote.
Najua maelezo ni marefu,ila SOMA YATAKUSAIDIA.asante.
Off i go.....

lakn.syo kujamba bhana
 
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help

kusanya gesi kwa ajili ya kupikia
 
ukiona unaishi na mpenzi wako for quite a longtime halafu hujawahi sikia au hata kuhisi kuwa amejamba, kaa ukijua kuwa mpenzi wako ni msiri na hayuko free na wewe n' mind you, hicho ni baadhi ya vitu vingi vya siri ambavyo amekuficha, so relax that is something to shout about!

Word nisingesoma hii comment ningechangia kwa hili ni ukweli. Niongeze kidogo tu hapa: Kujamba ni kitu cha siri/aibu ndo maana huwezi jamba buuuhh mbele za watu lakini ukiona mkeo yuko huru kujamba mbele yako ujue huyo ni muwazi hata kwa mambo mengine na yuko huru akificha hili ujue hapo noma kuna kamfano kamoja naweza kusema ukimuonea aibu mtu mnaelala uchi nae ujue hapo kuna siri imefichika
 
Kujamba labda niwe usingizini otherwise siwezi mpk niwe peke angu.
 
Hahahahahahaha...JF is never boring...ndo mana JF kama haipatikani hua naugua
 
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help

...ni mkeo kweli?umemchunguza vema?asije akawa anagawa ta.ko nje ya ndoa....na hivyo kuwa amelegea nyuma na hivyo kushindwa kujizuia mashuzi....fanya uchunguzi ndugu..acha kulalamika...
 
Kwa hiyo ukiwa sehemu zenye mikusanyiko ya watu kama safarini, mkutanoni au kwenye ibada ukasikia hali ya hewa imechafuka unajua tayari wife keshafanya mambo! Au harufu ya ushuzi wa mkeo umeisha ikariri?
 
Mwambie akimaliza kula,asinywe maji mpaka baada ya dakika 30,tatizo litakuwa limeisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom