Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Kujamba ndio afya hiyo ukiona hajambi bc mpeleke kwa doctor manake mirija itakuwa imeziba hiyoo
 
Mbavu zangu sijui nimefikaje huku nilikuwa naelekea j/la siasa
 
Mimi sio mlaji na sijawahi na sitofanya.mimi sio mtu wa pwani

Alaaah unataka kuniambia watu wa pwani ndo tabia zao za kutafunana tigo mweee embu ngoja.... nimwulize Mkuu Analyse ni kweli analoongea huyu mtu?
 
Last edited by a moderator:
Alaaah unataka kuniambia watu wa pwani ndo tabia zao za kutafunana tigo mweee embu ngoja.... nimwulize Mkuu Analyse ni kweli analoongea huyu mtu?

Hahahaha watu na tabia zao mkuu,hii ni kali aisee
 
Last edited by a moderator:
kwanza shukuru ulimuoa huyo dada huna sifa za kuwa mume, watu wana matatizo makubwa unaleta upuuuzi hapa halafu unaeleza kwa strong feeling hivyo shutup!! eboooo wewe unajua maana ya ndoa kwelo mwambie tu asijambe mbele za watu na umwache kwa raha zake jambo hiilo si lakukunyima usingizi kwenye ndoa watu wana mitihani mikubwa wewe!! tena usijwlalamika akaacha halafu akaibuka na vingine
 

hahahaaaaa naona imekutachi kinomanoma....
 
hahahaaaaa naona imekutachi kinomanoma....



yaap imenitachi best ujue kwenye ndoa vitu ambavyo havina madhara ukikubaliana navyo hupaswi kuviwaza sana. kuna guniune problems, mfano mmeo anatabia yakumega matonge makubwa umemkanya hasikii, kama akila hanyimi wenzake anakula saizi yake mwache hivyohivyo
 

Vipi na wewe unajiachia kwa mume wako nini? Jibu tafadhali...
 
Mpe Pole muulize kama haumii... sometimes ni ishara hiyo anakukaribisha huko...
 
Sasa mkuu mvumilie tu mkeo na umwambie unakereka sana akijamba awe anatoka njee harufu iishe ndio arud
Unamlisha nn mkeo mpaka mashuz yananuka? Km chakula mnakula wote kwann kujamba yy tu May be tatizo la kiafya tumbo kujaa gas
 

anataka sema anaona hujaelewa, anataka njia ya pili itumike, kazi kwako kuitumia
 
Duuu, mengine hata ushauri unakuwa shida;
akijamba mtie vibao;
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…