Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Asa unataka ata kama n usku wa manane akitaka kujambaa aende choon? Acha mambo ya ajab bhana kujamba ktu cha kawaida sana. Atatafta ambao akijamba hawalalamiki, utaibiwaa.
 
Ndugu wana MMU,

Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu.

Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.

Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.

Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu?

Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?

Please help
Mbona kama namjua.toka pande flani hvi za kisimani.?

bila shaka ndivyo walivyozoea kuishi kwenye familia yao tokea wakiwa wadogo(walivyolelewa), dnt panic otherwise mueleweshe atabadilika tu one day
 
Sasa wewe unamlisha maharage kila siku usiku na mchana kwanini asijambe kila mara?mbadilishie chakula bana.
 
Haya sasa nenda kamjulishe mkeo kuwa umefungua uzi wa kumhaibisha JF akija hapa akisoma comments za wadau ataona ni jinsi gani mumewe unavyompenda hata umeamua kuomba ushauri juu ya tabia yake, na atakushukuru na kujirekebisha.
 
Haya sasa nenda kamjulishe mkeo kuwa umefungua uzi wa kumhaibisha JF akija hapa akisoma comments za wadau ataona ni jinsi gani mumewe unavyompenda hata umeamua kuomba ushauri juu ya tabia yake, na atakushukuru na kujirekebisha.

hahaha
 
in biology is not a problem because that is way of removing waste gases from the body..it is a characteristic of living thing..that is good..congratulate her
 
Ni kweli kaka usemachoo kila MTU hujambaa ni kama kila MTU anavyoenda msalani..ila sasa ni lazima kuwe Na staha..kwani ukiwa mpenzi wanguu ndoo ujambejambe bila sababu...MTU kama hapendi ajambe mbele yakee unajambaa hana heshima huyoo Dada.nipm nope no.yakee nimkanyeee.
 
Hivi kuleta story online kwenye ID feki ndo kuanika siri za ndoa?

Hivi kuandika online na kupeleka kwa "wazee" ipi bora?

Some people's minds are just beyond me!!
 
Halafu nimegundua watu wengi hawana adabu. Eti akikuficha kujamba anakuficha mangapi!

OVYO!

Some bodily functions should be private, unless ugonjwa au accident. Kwani kwenda pembeni kuna kazi gani!
 
Nyege ma dia. Kila mwanamke ana staily yakuonyesha nyege zake wengine hasira, joto, kucheka, kwenda choin mara kwa mara, kukutomasa, mwingine anakuwa mpweke,,kulia nk. So chakufanya wewe akifanya hvyo mpe pole mtomase mtomase mpe dushe ndoa itanoga ajabu.
 
HONGERA KWA KUPATA MKE MUAMINIFU.HAKUFICHI KITU KIDOGO KAMA HICHO.
KULA HEWA KIJANA
 
Swali hiki lilishaletwa hapa jamii forum na majibu mengi yalitolewa hapa hapa jamvini. Sababu ni nyingi mojawapo ni vidonda vya tumbo,vyakula has a vyenye gesi hivyo nenga hospital utapata ushauri zaidi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom