Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
"..Nunua pafyum akiharibu hewa.. urekebishe fasta"
 
wana ndoa ni mwili mmoja, ukijenga mazingira ya kuuzoea utaona wa kawaida saaana
 
Kujamba jamba sana ni hali inayotokana na ulaji wa kilafi mtu anashiba hadi anavimbiwa na pia anapokula na kunywa maji kabla ya muda walau nusu saa kupita baada ya kufakamia sahani ya ubwabwa wali na mboga jamii ya mikunde ambazo hujaza gesi suluhisho ni kumwekea kipimo cha saizi ya ngumi kwa kila mlo na hakuna kunywa maji vyakula jamii ya mikundu aache kwasasa walau hadi utakapoona harufu za kutisha na ajabu ajabu ameacha kuzitoa
 
Jf raha,eti kila akitaka kujamba awe anakimbia kwenda chooni!.Hii ni changamoto ndogo sana kati ya changamoto za ndoa ninazozifahamu,hili sio jambo la kuomba ushauri hapa JF,labda kidogo facebook.Ila mvumilie tu.Wengine wanasema hivi, kama mke wako hata kujamba tu anafanya siri kwako je vipi mambo mengine?
 


nawe mjambie kwani kujamba ajabu ,akijaa moja unampa viwili akijaa viwili unamjaa x2 zaidi ngoma droo acha uboya.
 


anakupenda huyo usimwache au hukuapa kwa shida naraha .
 
Hiyo ndio ishara kuwa ndoa yenu imekomaaaa,ndoa mpya hakuna raha kamahiyooo
 
Nawewe tafuta jambia umjambie maana dawa ya moto ni moto.
 
Mke kujamba kama unampenda mbona wengine ndo tunapenda? Ila kama carbondioxide anayotoa kama inatoa harufu kali bas anatakiwa atumie busara ya kutoka hapo sehem aendd uani atoe kwanza ushuz wote then arud. Ila mkeo akikujambia wakat mwingine ni ishara kuwa mapenz yamekolea hivyo amesarrenda kwako na kajiachia kwako. So wew mpende zaid na mpe doZ zaid
 
Mshauri awe anajamba silent,ila kama ni ujambaji anatoa mlio kama wa bodaboda lazima umuonye kila mara.
 
Bro dawa yake huyu ndogo sana wewe mle tako,mwambie kadei anavyojamba ndivyo wewe unapata hamu ya tigo
 
tafuta jinsi ya kusawazisha..kabla ya kulala kula bisi, mayai ya kuchemsha, mahindi ya kuchoma. karanga na mtindi ataiona habari yake
 
mkuu hayajakufika wewe
 
Kujamba n afya, wacha sjiachie! Kuna nchi kujamba n heshima kwa mwenye mji, inaonyesha jinsi gan unawahudumia vzr
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…