Myheart
Member
- Jun 18, 2012
- 50
- 14
nyie acheni utani jamani...! Hivi mnafikiri mmoja akimwaga ugali na mwingine mboga wote si mtalala njaa tu? Basi kwa vyovyote vile mwenye tatizo hilo basi kakumbwa na balaa husika....!
mie sijapenda alivyokuja kunianika hapa. Nilishamwambia nitaenda kumwona daktari yeye anakimbilia jf!