Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
umeona mama kuna wanawake wanakula utadhani ugomvi kumbe anaenda tu kulala
matokeo yake ndo hayo kumpigia mumewe vuvuzela usiku kucha
wacha watu wawe na nyumba ndogo sasa!

Nyumba ndogo ikipuliza vuvuzela? tena afadhali vuvuzela bigula kabisa
 
awe anatumia dawa za kutoa ges tumboni mapema kabla ya kulala atakuwa anavimbiwa huyu
 
unamnunulia matunda mkeo?!! mwanamke matunzo kujamba ni suala la kawaida kabisa asee...
 
mwambie amuone dokta ni dalili ya vidonda vya tumbo
pia mwambieaache kula ovyoovyo asione amefika saaana hapo!
by the way umepata ring tone weka kwenye simu kama alarm!


hahahh ahahah ahah a alarm! you made my day
 
Mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakini huu utani wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi.

Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...

Nipeni ushauri wadau.... Nampenda sana mke wangu.
 
Hiyo kawaida tu,kumlipa we tandika viroba vya kutosha na supu utumbo hifadhi ushuzi mpaka ufike hm hakikisha mpo kwa bed kabla hajaanza unaachia stata,atahama nyumba mwenyewee na siku ingine harudii huo utani wake
 
Mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakin huu utan wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...nipeni ushauri wadau....nampenda sana mke wangu.

Mkuu huo ni mtihan,maana unatakiwa kujua kama kizibo kipo salama au laah. Mara nyengne huo utan usizidi lakin mara nyengine unakuta kizibo kilishatolewa so chunguza hyo kitu.

Swali:
Je unapokua unasokomeza mkia kwa papuchi yake anajamba pia????
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom