Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Leo cku yangu imeisha vizuri,shukrani kwa mleta uzi na wachangiaji wote kwanza nipumzishe mbavu zngu
 
Mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakin huu utan wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...nipeni ushauri wadau....nampenda sana mke wangu.

Hahahahaha, yaan naisoma hii post tayari nipo tipsy. Hahaha!
 
Mkuu huo ni mtihan,maana unatakiwa kujua kama kizibo kipo salama au laah. Mara nyengne huo utan usizidi lakin mara nyengine unakuta kizibo kilishatolewa so chunguza hyo kitu.

Swali:
Je unapokua unasokomeza mkia kwa papuchi yake anajamba pia????

mkuu naomba umjibu huyu mwajf kwanza
 
Mhhh hi sasa kali.. mbona kama nimekosa neno mie
 
mhhh sio kosa lake mkuu yawezekana mwenzio tigo yake isha tinduliwa na kutigitwa na kulaluliwa na kufumuka na kutatuliwa kitambo sana kiasi kwamba seal yake na kizibo vishatoka kitambo sana
 
Zaburi.1, "Heri wale wasiokaa barazani pa wenye mzaha.....
Waebrania "Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malezi yawe safi...
 
Mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakin huu utan wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...nipeni ushauri wadau....nampenda sana mke wangu.

Vyote umejaliwa,
isipokuwa umekosa hekima na busara tu,
Pole!
 
Mimi na mke wangu tunapenda sana utani. Lakin huu utan wa kufikia mahala haoni aibu mpaka anakua ananijambia tukiwa kitandani..mi sipendi kweli. Mpaka nasafoketi. Afu anajamba mpaka pua inachachuka kabisa. Nikimwambia anaona kama utani...nipeni ushauri wadau....nampenda sana mke wangu.

pole sana mkuu! tatizo wewe unasema kimahaba zaidi..!! *acha basi kunyampa sweetieeeeee*!!!

basi na yeye anayaachia akijua unapenda!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom