nyie acheni utani jamani...! Hivi mnafikiri mmoja akimwaga ugali na mwingine mboga wote si mtalala njaa tu? Basi kwa vyovyote vile mwenye tatizo hilo basi kakumbwa na balaa husika....!
umeona mama kuna wanawake wanakula utadhani ugomvi kumbe anaenda tu kulala
matokeo yake ndo hayo kumpigia mumewe vuvuzela usiku kucha
wacha watu wawe na nyumba ndogo sasa!
amwambie anaoa mke mwingine na appetite itaishamtu anafinyanga ugali kama anaenda kwenye mazoezi ya ngumi
kumbe anaenda kulala, ukute na mibia keshabugia kibao kwa nini asipumue
usiku kucha,
huyo mwanaume ampe masharti kama mambo yanazidi bana mi nahamia chumba
cha wageni aone kama hataacha kuachia hayo mabomu yake ya usiku.
amwambie anaoa mke mwingine na appetite itaisha
ahahaaa maana hata maji ya kunywa yatapita mdomoni kwa taabuha ha ha haaaaaaaaa,
hapo tatizo litakuwa limetatulika.
ahahaaa maana hata maji ya kunywa yatapita mdomoni kwa taabu
ahahaaaa acha aendelee kujaza utumbo eda yajahata midomo itamkauka kama aliye eda.
ahahaaaa acha aendelee kujaza utumbo eda yaja
toka nizaliwe sijawahi kufanya hivyo! Kwi kwi kwi!shushia na kiloba original hicho kicheko ili usiku ujambe vizuri
wale wa tigo wanajambaga "yusufu"...huyu wa kwangu utasema kafungiwa muffler ya subaru
kwani kuna shida gani jamani.? mshauri bwana
mmh ingia kwenye tisini zangu uone moto wakesmile.....u must be so gentle and extratolerant-excellent qualities
utakuwa muungwana mno/mstahimilivu mno/mstaarabu balaa...sidhani kwa maneno tu...
keep it up
mwambie amuone dokta ni dalili ya vidonda vya tumbo
pia mwambieaache kula ovyoovyo asione amefika saaana hapo!
by the way umepata ring tone weka kwenye simu kama alarm!