Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Huyo alikosa cha kuandika, hata mke hana, wenye wake hawako hivi, wapo matured. asome kwanza JF ataikuta tu akikua, aache kukurupuka.
 
Lakini mbona kwa muda mfupi sana na kwa tatizo dogo sana umeshasahau kiapo chenu mlichokula cha kuvumiliana kwa shida na raha??? Ulipomuoa hakuwa hivyo, kwa nini usiamini kuwa hilo ni tatizo na unapaswa kulivumilia???

Mwisho, mke mpe heshima yake bana!! Asipojiachia kwako akajiachie kwa nani tena, ulipaswa kumtania na kucheka pamoja akijamba badala ya kumfokea na kununiana bana!!

Utamweshimu vp mtu asiyejiheshimu....? HARD TO SWALLOW.
 
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help

Umri wako tafadhali.
 
Tatizo mumekuwa km dada na kaka sio mke na mume. teh teh teh teh pole thaaana!
 
Kuoana si tiketi ya kufanyiana karaha.

Huyo mwanamke hana adabu na hana ustaarabu. Mashuzi ni karaha na ni kitu cha kujistiri na si kitu cha kujivunia.

Hakuna binadam asiyepumuwa lakini wote tunatakiwa tuwe na staha katika mambo kama hayo.

Wakuja wengi huwa wanatucheka sisi watu wa pwani kwa kufukiza maudi majumba yetu na miili yetu. Laiti wangeelewa kuwa harufu nzuri ni moja katika raha za dunia na si harufu za choo majumbani mwetu basi wasingejambiana.

Huyo mwanamke ongea nae seriously ili ajuwe kuwa uko serious. Ni karaha hiyo na hakuna raha hapo.
 
hiv ulishawahi ona wapi kuna sehemu ya kupumulia ukailipia? ama choo cha kupumulia? haja ndogo na kubwa unalipia mia tatu lakin kupumua ruksa
 
Fanya hivi,chukua kiberiti,weka choo yako humo,kifungue nusu ikifiche sebuleni,kiwe kinatoa Harufu yake,akiuliza Harufu ya mavi inatoka wapi,mwambie na wewe umeamua kuwa unajamba,atasalimu amri
 
Kuoana si tiketi ya kufanyiana karaha.

Huyo mwanamke hana adabu na hana staarabu. Mashuzi ni karaha na ni kitu cha kijistiri na si kitu cha kujivunia.

Hakuna binaadam asiyepumuwa lakini wote tunatakiwa tuwe na staha katika mambo kama hayo.

Wakuja wengi huwa wanatucheka sisi watu wa pwani kwa kufukiza maudi majumba yetu na miili yetu. Laiti wangeelewa kuwa harufu nzuri ni moja katika raha za dunia na si harufu za choo majumbani mwetu basi wasingejambiana.

Huyo mwanamke ongea nae seriously ili ajuwe kuwa uko serious. Ni karaha hiyo na hakuna raha hapo.

nakubaliana na wewe, inastaajabisha kuwa bibie mpaka akalishwe kitako kuambiwa jambo kama hili? hafahamu hii ni karaha? besides, inapendeza mumeo akikuona katika ubora wako, u-msafi na unanukia vizuri, and not otherwise!
 
Okay. Ndugu mwana ndoa nakupa pole kwa hilo najua ni kero kwako mpaka umelisema. Na hatuwezi kuwa wanafki yapo ambayo patna zetu hufanya na kwa namna moja ama nyingine ni kero kwetu na vice vesa. Hapo ni uvumilivu tu...amini nakuambia ipo siku ataelewa kwamba anachofanya si kizuri. Endelea tu kumwelewesha ipo siku atajistukia na kuacha hiyo tabia. Ila haya mambo hayapaswi kusema hata kama unatumia id ambayo hatukujui masuala ya mke/mme hayasemwi kwa watu. Huo ni mzigo wako mwenyewe yaaani.
Huyooo ni chagua lako....chagua lako.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom