Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
comment zingine bwana mmmmh km za SMILE et umepata ringtone
 
Tatizo ni kwamba hafuati muda wa kupata milo kwa utaratibu kiasi cha tumbo lake kipindi kingine kujaa gesi hivyo mshauri ajiwekee muda maalum wa kunywa chai asubuhi chakula cha mchana na chakula cha jioni, anywe maji ya kutosha pia ale kiasi na jioni apate chakula laini!
 
Chakufanya nikutafuta ear plugs uwe unaweka masikioni nyakati za usiku ili ulale, make wewe umeuliza ufanyeje uwe unalala sio kumsaidia mkeo kuacha kujamba usiku.
 
Ni kweli au unatania jamvini. I am trying to imagine mtu kujamba ukasituka usingizini. Mbona watu wanajamba sana wakiwa faragha. huna haja ya kubana hewa chafu isitoke. Sasa wewe ya kuamka usingizini kali. Mpeleke kwa daktari. Au anashiba sana usiku.

hahahaha mweee
 
Pole kaka...
Ni hali ya kawaida sana hyo..
Vile na wewe unanyampaga ila hujui kwa kuwa umelala..!!
Bro wangu alinambia wanandoa wananyampiana sana..
Sio tigo,sio nini..
Kawaida tu kama kawaida zingine muhimu kubadili chakula..
 
Jamani mnisaidie,siku za karibuni mke wangu anajamba sana nyakati za usiku,tena kwa sauti kubwa,kujamba kwake kunanishtua sana usingizini,na nashindwa kuendelea kulala,jambo hili linanitesa sana maana hata nikiwa kazini ninachoka sana maaana silali masaa ya kutoshanimemuuliza ni nini ila hata yeye hajui chanzo,siwezi kumkimbia,je hili ni jambo la kawaida?....hivi kuna dawa ya kuzuia hilo?....nisaidieni mwenzenuu

Hahahaha dah mwambie aache kula vyakula vyenye gesi
 
Jamani mnisaidie,siku za karibuni mke wangu anajamba sana nyakati za usiku,tena kwa sauti kubwa,kujamba kwake kunanishtua sana usingizini,na nashindwa kuendelea kulala,jambo hili linanitesa sana maana hata nikiwa kazini ninachoka sana maaana silali masaa ya kutoshanimemuuliza ni nini ila hata yeye hajui chanzo,siwezi kumkimbia,je hili ni jambo la kawaida?....hivi kuna dawa ya kuzuia hilo?....nisaidieni mwenzenuu
Mwambie abadilishe ratiba aanze kujamba mchana ili usiku wewe upate usingizi!
 
Unavyomlisha maharage na njugu unategemea nini?
Mpe kitu cha mbuzi,ng'ombe uone kama atajamba.
We vipi bana!
 
Relcer gel tafuta dawa hii anywe asbh mchana na jioni kwa miezi miwili tatizo litaisha pia asinywe maji wakati anakula au baada tu ya kula anywe baada ya nusu saa pia apunguze kula jamii ya vyakula mbegu km kunde maharage njegere hii na pia anywe maziwa kwa wingi na aruke kamba usiku kabla ya kuingia kulala.lete feedback kwa pm
 
Siku ingine anaweza jiharishia akijua anaachia ushuzi stuka uwe unamvalisha pampers kupunguza dhahima
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom