Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mi sijambi wala sikoromi ukilala na mimi utafurahimbona maziwa yanajambisha sana au wewe uko lactose tolerant?
mi sijambi wala sikoromi ukilala na mimi utafurahi
kuna mtu nalala nae tayarinataka kulala na wewe ili nifurahi
Ni kweli au unatania jamvini. I am trying to imagine mtu kujamba ukasituka usingizini. Mbona watu wanajamba sana wakiwa faragha. huna haja ya kubana hewa chafu isitoke. Sasa wewe ya kuamka usingizini kali. Mpeleke kwa daktari. Au anashiba sana usiku.
Mwambie apunguze kula dengu na viazi vitamu(mbatata)!!
Jamani mnisaidie,siku za karibuni mke wangu anajamba sana nyakati za usiku,tena kwa sauti kubwa,kujamba kwake kunanishtua sana usingizini,na nashindwa kuendelea kulala,jambo hili linanitesa sana maana hata nikiwa kazini ninachoka sana maaana silali masaa ya kutoshanimemuuliza ni nini ila hata yeye hajui chanzo,siwezi kumkimbia,je hili ni jambo la kawaida?....hivi kuna dawa ya kuzuia hilo?....nisaidieni mwenzenuu
Mwambie abadilishe ratiba aanze kujamba mchana ili usiku wewe upate usingizi!Jamani mnisaidie,siku za karibuni mke wangu anajamba sana nyakati za usiku,tena kwa sauti kubwa,kujamba kwake kunanishtua sana usingizini,na nashindwa kuendelea kulala,jambo hili linanitesa sana maana hata nikiwa kazini ninachoka sana maaana silali masaa ya kutoshanimemuuliza ni nini ila hata yeye hajui chanzo,siwezi kumkimbia,je hili ni jambo la kawaida?....hivi kuna dawa ya kuzuia hilo?....nisaidieni mwenzenuu
mi sijambi wala sikoromi ukilala na mimi utafurahi
KhaaaaahMwambie abadilishe ratiba aanze kujamba mchana ili usiku wewe upate usingizi!