Mke wangu anajamba sana usiku, nifanyeje?

Status
Not open for further replies.
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help

anakubeep mpigie kupitia hiyo line
 
Unaweza kuweka Picha ya mtoto plz.... Manake nikivuta Picha nahisi sura ya mtoto imeathirika!!
 
Hilo bichwaa lina ubongo kweli?Mpaka ukafka umri wa kuoa inamaana una akili timamu,kuna mambo ya kusema na ya kukaa kimya sasa unataka wanaJF waje wamshauri aache KUKUPEPEA bogaz kabisa wewe TATIZO UNAMLISHA "KUNDE" mtoto wa watu unategemea nini?
 
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help

Kwa maoni yangu, hilo si jambo la ku-mind saana! Anajiachia mbele ya 'mtu wake'!!
 
hayo ndio mambo ya KUVUMILIANA ktk ndoa so usimharibie pozi mkeo aisee! muache ajiachie kwa raha zake kuna wengine hawapati huo ushuzi sasa km yeye anapata muache, mpe uhuru, sio maradhi hayo kaka..ni km kupiga miyayo tu...ok?

Nawewe ukipiga mihayo unatoa harufu mpaka wageni wakiingia hapakaliki?
 
Hilo bichwaa lina ubongo kweli?Mpaka ukafka umri wa kuoa inamaana una akili timamu,kuna mambo ya kusema na ya kukaa kimya sasa unataka wanaJF waje wamshauri aache KUKUPEPEA bogaz kabisa wewe TATIZO UNAMLISHA "KUNDE" mtoto wa watu unategemea nini?

asanteeeeh!!...
 
sasa asijambe mbona nalo hilo ni kawaida sana

Nashangaa! Huyu atakuwa ana matatizo ya akili au alilelewa vibaya akiamini kuwa kujamba ni kitu cha aibu, kwanini mwanamke wako mwenyewe ajibanebane mbele zako, akipata vichomi?
 
Sio ustaarabu, sipendi kumwambia mtu kitu kilekile bila kuelewa

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Ndugu wana MMU,
Nimeishi na mke wangu kwa muda wa miaka 2 na tuna mtoto mmoja. Kwa ufupi tunaelewana sana, tatizo kubwa ni tabia yake ya kujiachia(ushuzi) mbele yangu. Nimejaribu kumweleza kama sifurahishwi na anavyofanya aingie chooni lakini yeye anacheka na kunieleza anapumua.
Sasa nimeongea mpaka nimechoka, nimeamua kuacha tu.
Naomba ushauri wenu, je kujamba mbele ya mpenzi/mume/mke ni kupumua tu? Na je akijamba mgeni akiingia ndani(imewahi tokea) na kukutana na harufu atatuanaje?
Please help

Mbona poa tu. Kwanza inafurahisha unaposikia kinanukaaaaa halafu mtoto mzuri kweli. Hehehehe usimind mkuu kujamba ni afya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom