masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
yaaani uwezi amini dah nilikua na mood hapa nzuri imekataKabisa ma km yuko dar atupe mtoto huyo tukae naye.! Hata kama wa kiume mi anipe.
Kanichefua huyo mdada jamani, roho gani hiyo ya kikatili??
anampiga mtoto wa miaka 8 tofali!??? Et umekuja kutugombanisha, huyo mwanamke ni dada yake na shetwain wallah.Kuna muda wanawake,roho mbaya twamzidi shetani
Aisee kuna kumtia mtoto nidhamuMkeo ni mjinga sana ashawaza siku na yeye akitangulia mbele za haki watoto wake nao wateswe hivyo.
Kuna WANAWAKE ni wapumbavu sana kwenye hii Dunia, akili zao huwa zina funza.
Kuna muda wanawake,roho mbaya twamzidi shetani
Aisee kuna kumtia mtoto nidhamuMkeo ni mjinga sana ashawaza siku na yeye akitangulia mbele za haki watoto wake nao wateswe hivyo.
Kuna WANAWAKE ni wapumbavu sana kwenye hii Dunia, akili zao huwa zina funza.
Nimeipenda sana hii,ubarikiwe sana kwa moyo huoKama unaishi dar na huyo mtoto ni wa kike mlete kwangu mpaka u settle
Njoo inbox
Dah
Hapo ni kumuhamisha mtoto tu basiUkimuacha mkewe, ukaleta mke mwingine changamoto kwa watoto wako pia.
Nimejiskia vibaya sanaNimeipenda sana hii,ubarikiwe sana kwa moyo huo
Kweli mwenzetu kazingua.Yani ningekua mimi ndio wewe nilivotoka tu Hosp hiyo mke angechezea makofi alafu namrudisha kwao
Huyo mtoto utasema anakula gunia kwa siku? Na hapo roho mbaya ipo kwenye msosi hana lolote.!!Dah yaani
Aisee nina mtoto wa mume wangu anakujaga likizo umr wa miaka 12
Aiseee sionagi baya lake japo wanaokujaga ndo wanasema mtoto mkubwa hivi hajui hata kutoa chombo
Akimaliza kula,naonaga sawa tu maana hata wanangu naenda nao hivyo hivyo
Nasema kama wa kiume hawajui hizo kazi why mdogo hivi kisa wa kike awe anafanya hizo activities
Mi napenda watoto wa kike sana
Wa ndugu zangu natamani kuja kumchukua ni ishi nae kabisa
Aisee mtu anae enda physical kwa mtoto wa miaka nane si ni la pili??
Kwa nini anamkokota namna hiyo??
yaaani uwezi amini dah nilikua na mood hapa nzuri imekata
Unajua hakuna jambo baya sana kama mtoto asiyeweza kujitetea
kuna familia nyingine ukirudi nyumbani kihasarahasara utalala siku moja tu kesho yake unaambiwa rudi kwa mumeoKweli mwenzetu kazingua.
Nje ya mada....hivi kumrudisha mke kwao ni adhabu ama zawadi? Hili zali natamani linikute halinikuti sijui kwanini.
Wake zenu huwa wanaogopa kurudishwa kwao? Duh sijawahi pata feeling ya hivyo.
Wewe utakuwa umemchoka shemeji mpk unatamani likizo ya kurudi 😹😹😹Kweli mwenzetu kazingua.
Nje ya mada....hivi kumrudisha mke kwao ni adhabu ama zawadi? Hili zali natamani linikute halinikuti sijui kwanini.
Wake zenu huwa wanaogopa kurudishwa kwao? Duh sijawahi pata feeling ya hivyo.
Baraka sana!Kuishi na yatima ni baraka watu hawajui tu