Mke wangu anamtesa sana mtoto wa marehemu dada yangu

Ongea na mkeo umuulize mtoto ana shida naye gani labda Kama ana muona jeuri na Kama kuna changamoto nyengine muitatue
Na umsisitize awe na upendo kwa huyo mtoto,inawezekana akabadilisha tabia yake
Ila ikishindikana chagua kumpa likizo mke au kumuhamisha mtoto
Aongee nae nini? Mtoto wa miaka nane hawezi kuwa na ujeuri kiasi cha kupigwa na tofali. Mke wake ndivyo alivyo na hawezi kubadilika. Na inaelekea haamini kama anaweza kuachwa. Amtimue tu. Kuhamishwa mtoto isiwemo katika ajenda maana atahisi tu kuwa hapendwi na itampa trauma.

Amandla...
 
Wanawake bana, miaka ya mwanzo wa ndoa yangu walikuja ndugu zangu wawili wanasoma chuo kutokea nyumbani kwangu, ikawa kila siku ni mashtaka na kununa. Nikawapangia wale madogo chumba kila mmoja cha kwake maana ni jinsi tofauti.

Alivyojua mimi ndo ninayelipa kodi aka washa tena moto! Hatutakaa tuendelee, bla bla...

Tuende nao tu hivyo...
 
Hilo ndio chaguo lako na ushazaa nae watoto wawili utakapomuacha fikiria mustakabali mzima wa watoto wako na wewe , Kama unaweza mtafutie shule nzuri ya boarding akakae awe anakuja nyumbani likizo tu. Na wewe uanze kuweka mipaka Kwa ndugu zake
 
Kama mjuavyo sisi wanaume mara nyingi ni kuamka asubuhi na mapema na kuondoka, na kurudi ni usiku, muda ambao Mimi nashinda nyumbani ni jumamosi na jumapili.

Usiku wa kuamkia Jana alhamis mtoto wa marehemu dada yangu alianza kulia sana chumbani, akalia sana mpaka ikabidi niamke niende chumbani kwao Ili nione Kuna nini, nilivyo fika nilimkuta kakaa chini huku wenzie wamelala, nikamwuliza Kuna nini? Akanijibu mguu unamuuma sana, ikabidi niuangalie mguu, aisee nilijikuta nalia na Mimi, mguu ulikuwa umevimba sana, nikamwuliza ilikuwaje? Akaniambia mke wangu alimpiga na kipande Cha tofali.

Pale pale nikaenda kumwamusha mke wangu kumwuliza hiki alicho fanya, akawa amekataa na kuanza kumfokea mtoto eti anataka kutugombanisha, Nikasema sawa, ila kwanini mguu unafikia hatua hii ina maana alikuwa hamuoni? Akawa amezidisha hasira eti natafuta sababu kama nime mchoka niseme arudi kwao, nikaona maneno yasiwe mengi ikabidi nimpakie mtoto kwenye gari nikampeleka hospital usiku ule ule, iligundulika kuwa mfupa wa mbele wa mguu uliachia kidogo akafungwa P.O.P.

Nilivyo rudi nyumbani asubuhi Jana hiyo asubuhi ilibidi nishinde nyumbani, ikabidi nifanye upelelezi mana Kuna vitu niliiona haviko sawa, ndo mpangaji wangu mmoja akaniambia kama Kuna sehemu naweza kumpeleka huyu mtoto Bora nimpeleke vinginevyo itatokea hatari kubwa, mtoto anateswa mno na mara nyingi shuleni haendi, na siku alivyo mpiga na tofari alikuwa amemtuma vitafunwa asubuhi akachelewa kurudi, tofari alimpiga mbele ya wapangaji siku tatu nyuma, na siku zote hizo hakwenda shule.

Nawaza mtoto nimpeleke wapi, marehemu dada yangu baada ya kufariki 2022 tuligawana watoto sisi ndugu zake, hili tukio limefanya nimkumbuke marehemu dada yangu aliye fariki Kwa maumivu makubwa ya kansa akiwa mikononi mwangu, nawaza Bora kuachana na mke wangu kuliko kuacha mtoto wa dada ateseke ntakuwa nimemkosea dada.

Mke wangu alimchukua mtoto wa kaka yake anaishi hapa na anaelekea kumaliza form 4 Kwa Gharama zangu, ila mtoto wa upande wangu kashindwa kumlea Kwa miaka miwili tu,hii ni sawa kweli?

Halafu baada ya mtoto kuniambia kuwa yeye ndo alimpiga, muda wote saivi ni kumuangalia Kwa jicho Kali sana na kumwambia eti ametumwa aje kutugombanisha, mtoto wa miaka 8 anawezaje kutugombanisha?

Sikuwahi kumfikiria mke wangu kuwa anaweza fanya hiki alicho fanya kutokana na mambo ninayo wafanyia ndugu zake, na ndiyo maana huyu mtoto nilimleta hapa Kwa kuamini atamsimamia kama mwanae na kama anavyo wasimamia watoto wetu wawili.

Mpaka naogopa kwenda kazini na huyu mtoto kumuacha hapa, nahisi atampiga Yani
Umeoa au umeolewa? Mpaka wmanamke anakutishia kuondoka wakati yeye ndo amekukosea ujue hapo umeshatekwa.

Mwanamke anajua huwezi kumfanya chochote hata akikusoea kiasi gani kwasababu unaogopa kumpoteza.

Binafsi ningemsafirisha mke usiku huo huo. Kurudi kwake ni baada ya bonge la kikao cha pamoja na wanaukoo wake wote na siyo wazazi wake tu.

Mtoto wa kaka yake pia angeondoka naye ila watoto wangu na mtoto wa dada yangu wangebaki. Ningeita ndugu upande wangu aje awahudumie watoto wangu kipindi hicho hata kwa gharama.

Huo mziki ningeucheza kwa mwaka mzima, akae kwao kwanza. Hakuna kupokea mawasiliano ya aina yoyote toka upande wake hata awe ni baba mkwe.

Hapo ndo ungemaliza huo ujinga. The moment mtu anahisi huwezi kuishi bila yeye, tambua umekosea mahali na unatakiwa kama mwanaume usimame katika nafasi yako.

Kimsingi mwaname hadodi, takwimu zinaonyesha kwamba duniani kuna wanawake wengi kuliko wanaume. Sasa ukiaply business principle ya demand and supply, utagundua kwamba mwanaume ana control soko na siyo kinyume chake.

Ya nini kukubali ujinga!?
 
Mwanamke mkatili wala sio wa kumchekea!
Unampigaje mtoto na tofali?
Si uuaji huo?

Wanawake baadhi yetu ni kama mapepo vile , mxiiiiiiiieee!
kutesa malaika wa watu hana mama pengine wala baba, af we unalala ndani sijui wanawazaga nn!
BEEN AN ORPHAN so najua hii hali inavyoweza kujeruhi kabisa nafsi kiukweli!
 
Hiyo mbwa ungeibetua kwanza yaan wakati unampeleka mjomba hosptal naye ungempleka akatibiwe yaaan unipigie mjomba wangu kizembe zembe tunamalizana ...Baadhi ya wanawake wanaroho mbayaa sana hapa kitaa hapa kuna jamaaa aliachana na mkewe akachukua single maza moja hivi mshikaji nae ana mtoto mmoja na huyu mtoto ndo mama yake na huyu mwamba walipambana wakajenga mji.Single maza kaja na mwanae lakini cha ajabu alikua anamtesa mtoto wa mwanaume ile mbaya ila mwanae anaishi nae poa tu.Ajabu mshikaji kakolea hasikii haoni ndugu wameamua kumchukua mtoto yy kabaki analea ile malaya na mtoto ambaye sio dam yake ajabu sana hii.
 
Mke huna,mtoto wa miaka 8 akitumwa kuchelewa ni kawaida,umli huo Kila sehemu anayopita yeye ni lazina acheze kwanza ndio aendelee na safari aliyotumwa.na huyo mkeo siku akimtuma mtoto alafu akapoteza hela aliyompa kuendea labda dukani fahamu huyo mke atauwa mtoto.ushauri wangu tafuta mke hapo mke huna
 
mambo ya binadamu baadhi wanaoitwa wanawake yanatia hasira na kukaraisha sana

mkuu cha kufanya mpeleke huyo mtoto boarding school na huko shuleni uwaweke wazi madhila akiyopitia huyo mtoto ili waweze kumrudisha katika hali ya kawaida ya kujiona kama watoto wengine, wakati wa likizo aje kwako muda ambao upo upo home kama hautakuwa na huo muda awe anakaa kwa ndugu zako ambapo una uhakika hatateswa.

hao ndugu wa mwanamke wote fukuza warudi kwao, na yeye akitaka kuondoka mwambie aondoke.

nimeshuhudia mtoto anatoka namba moja darasan mpaka wa mwishoni mwishoni huko kisa kunyanyaswa na kubaguliwa baada ya wazazi wake kufariki.
 
Mkeo ana roho mbaya sana. Alivyotishia kuondoka ungemwambia nenda. Hapo siku ukimuacha huyo mtoto na huyo mkeo atampiga mpaka amvunje mkono.

Usikute dada yako ndio alikulea mpaka kufika hapo. Mpe heshima kwa kumlea mtoto wake sawasawa na watoto wako.
 
Ongea na mkeo umuulize mtoto ana shida naye gani labda Kama ana muona jeuri na Kama kuna changamoto nyengine muitatue
Na umsisitize awe na upendo kwa huyo mtoto,inawezekana akabadilisha tabia yake
Ila ikishindikana chagua kumpa likizo mke au kumuhamisha mtoto
Mpaka mpangaji ameshasema kuhusu unyanyasaji mtoto anaopitia...Hiyo ampe pumziko kidogo huyo mwanamke ili ashike adabu
 
Kama mjuavyo sisi wanaume mara nyingi ni kuamka asubuhi na mapema na kuondoka, na kurudi ni usiku, muda ambao Mimi nashinda nyumbani ni jumamosi na jumapili.

Usiku wa kuamkia Jana alhamis mtoto wa marehemu dada yangu alianza kulia sana chumbani, akalia sana mpaka ikabidi niamke niende chumbani kwao Ili nione Kuna nini, nilivyo fika nilimkuta kakaa chini huku wenzie wamelala, nikamwuliza Kuna nini? Akanijibu mguu unamuuma sana, ikabidi niuangalie mguu, aisee nilijikuta nalia na Mimi, mguu ulikuwa umevimba sana, nikamwuliza ilikuwaje? Akaniambia mke wangu alimpiga na kipande Cha tofali.

Pale pale nikaenda kumwamusha mke wangu kumwuliza hiki alicho fanya, akawa amekataa na kuanza kumfokea mtoto eti anataka kutugombanisha, Nikasema sawa, ila kwanini mguu unafikia hatua hii ina maana alikuwa hamuoni? Akawa amezidisha hasira eti natafuta sababu kama nime mchoka niseme arudi kwao, nikaona maneno yasiwe mengi ikabidi nimpakie mtoto kwenye gari nikampeleka hospital usiku ule ule, iligundulika kuwa mfupa wa mbele wa mguu uliachia kidogo akafungwa P.O.P.

Nilivyo rudi nyumbani asubuhi Jana hiyo asubuhi ilibidi nishinde nyumbani, ikabidi nifanye upelelezi mana Kuna vitu niliiona haviko sawa, ndo mpangaji wangu mmoja akaniambia kama Kuna sehemu naweza kumpeleka huyu mtoto Bora nimpeleke vinginevyo itatokea hatari kubwa, mtoto anateswa mno na mara nyingi shuleni haendi, na siku alivyo mpiga na tofari alikuwa amemtuma vitafunwa asubuhi akachelewa kurudi, tofari alimpiga mbele ya wapangaji siku tatu nyuma, na siku zote hizo hakwenda shule.

Nawaza mtoto nimpeleke wapi, marehemu dada yangu baada ya kufariki 2022 tuligawana watoto sisi ndugu zake, hili tukio limefanya nimkumbuke marehemu dada yangu aliye fariki Kwa maumivu makubwa ya kansa akiwa mikononi mwangu, nawaza Bora kuachana na mke wangu kuliko kuacha mtoto wa dada ateseke ntakuwa nimemkosea dada.

Mke wangu alimchukua mtoto wa kaka yake anaishi hapa na anaelekea kumaliza form 4 Kwa Gharama zangu, ila mtoto wa upande wangu kashindwa kumlea Kwa miaka miwili tu,hii ni sawa kweli?

Halafu baada ya mtoto kuniambia kuwa yeye ndo alimpiga, muda wote saivi ni kumuangalia Kwa jicho Kali sana na kumwambia eti ametumwa aje kutugombanisha, mtoto wa miaka 8 anawezaje kutugombanisha?

Sikuwahi kumfikiria mke wangu kuwa anaweza fanya hiki alicho fanya kutokana na mambo ninayo wafanyia ndugu zake, na ndiyo maana huyu mtoto nilimleta hapa Kwa kuamini atamsimamia kama mwanae na kama anavyo wasimamia watoto wetu wawili.

Mpaka naogopa kwenda kazini na huyu mtoto kumuacha hapa, nahisi atampiga Yani
Kama hujawahi kuonja msoto wa malezi huwezi kuelewa anayopitia huyo Dogo.

Pole sana mkuu, sijui nikushaurije..
 
so sad kwa kweli,poleni sana,ndio maana mabinti huwa tunakumbushwa unapoolewa katika familia zetu za kiafrika huolewi na mtu mmoja tu(mume wako)bali ukoo na familia nzima ya upande wa mume/mwenza wako.
Mpeleke shule ya Boarding tu japokuwa ni mdogo ila ni vyema iwe hivyo
 
Mkeo kwa umri alionao huwezi kumfundisha tabia nzuri hadi yeye mwenyewe aamue kwahiyo uko na mtihani mkubwa sana mkuu.

Kwasababu hata ukisema umpeleke mtoto kwa ndugu zako itakulazimu ustate sababu ya wewe kumpeleka mtoto kule na hii itapelekea ndugu zako waanze kumchukia mkeo na kukudharau wewe in short itakupunguzia hadhi ya kiume kwa nduguzo.

Na ukisema umpeleke boarding mtoto wa miaka nane ni kama unaenda kumuharibu tu kwa maana bado ako na umri mdogo sana ambao unahitaji uangalizi na ndio umri ambao anatakiwa afundishwe yeye ni jinsia gani na watu wa jinsia yake huwa wanafuata njia zipi kabla jamii haijamfundisha njia tofauti.

Na huwezi kusema unamuacha mkeo ambae pengine mliishi nae vizuri kwa kipindi chote hiko ila hili ndio kosa pekee alilolionesha waziwazi kwako (kama unataka kufanya hili unatakiwa ufikirie nje ndani hasa kwenye malezi ya watoto wako).

Mkuu huu mtihani wako ni mzito na mimi nnachoona hili swala huwezi kulisolve wewe na mkeo au wewe pekee ila hili linapaswa kusolviwa na vikao vya familia na unatakiwa uchukue hatua za haraka sana Kwasababu tayari chuki ya waziwazi kutoka kwa mkeo kwenda kwa huyo mtoto imeonekana.

Anzia upande wa familia yake kabla hujarudi kwa ya kwako thou sioni kama kuna muafaka wa moja kwa moja utapatikana kama yeye mwenyewe akiwa hajaamua kuachana na hizo roho za chuki zinazomtafuna ndani yake.

All in all hili swala liko mikononi mwako so unatakiwa utafakari na uchukue maamuzi ambayo hayataathiri upande wowote, don't be too emotional coz hutaweza kuamua vyema.
 
Kama mjuavyo sisi wanaume mara nyingi ni kuamka asubuhi na mapema na kuondoka, na kurudi ni usiku, muda ambao Mimi nashinda nyumbani ni jumamosi na jumapili.

Usiku wa kuamkia Jana alhamis mtoto wa marehemu dada yangu alianza kulia sana chumbani, akalia sana mpaka ikabidi niamke niende chumbani kwao Ili nione Kuna nini, nilivyo fika nilimkuta kakaa chini huku wenzie wamelala, nikamwuliza Kuna nini? Akanijibu mguu unamuuma sana, ikabidi niuangalie mguu, aisee nilijikuta nalia na Mimi, mguu ulikuwa umevimba sana, nikamwuliza ilikuwaje? Akaniambia mke wangu alimpiga na kipande Cha tofali.

Pale pale nikaenda kumwamusha mke wangu kumwuliza hiki alicho fanya, akawa amekataa na kuanza kumfokea mtoto eti anataka kutugombanisha, Nikasema sawa, ila kwanini mguu unafikia hatua hii ina maana alikuwa hamuoni? Akawa amezidisha hasira eti natafuta sababu kama nime mchoka niseme arudi kwao, nikaona maneno yasiwe mengi ikabidi nimpakie mtoto kwenye gari nikampeleka hospital usiku ule ule, iligundulika kuwa mfupa wa mbele wa mguu uliachia kidogo akafungwa P.O.P.

Nilivyo rudi nyumbani asubuhi Jana hiyo asubuhi ilibidi nishinde nyumbani, ikabidi nifanye upelelezi mana Kuna vitu niliiona haviko sawa, ndo mpangaji wangu mmoja akaniambia kama Kuna sehemu naweza kumpeleka huyu mtoto Bora nimpeleke vinginevyo itatokea hatari kubwa, mtoto anateswa mno na mara nyingi shuleni haendi, na siku alivyo mpiga na tofari alikuwa amemtuma vitafunwa asubuhi akachelewa kurudi, tofari alimpiga mbele ya wapangaji siku tatu nyuma, na siku zote hizo hakwenda shule.

Nawaza mtoto nimpeleke wapi, marehemu dada yangu baada ya kufariki 2022 tuligawana watoto sisi ndugu zake, hili tukio limefanya nimkumbuke marehemu dada yangu aliye fariki Kwa maumivu makubwa ya kansa akiwa mikononi mwangu, nawaza Bora kuachana na mke wangu kuliko kuacha mtoto wa dada ateseke ntakuwa nimemkosea dada.

Mke wangu alimchukua mtoto wa kaka yake anaishi hapa na anaelekea kumaliza form 4 Kwa Gharama zangu, ila mtoto wa upande wangu kashindwa kumlea Kwa miaka miwili tu,hii ni sawa kweli?

Halafu baada ya mtoto kuniambia kuwa yeye ndo alimpiga, muda wote saivi ni kumuangalia Kwa jicho Kali sana na kumwambia eti ametumwa aje kutugombanisha, mtoto wa miaka 8 anawezaje kutugombanisha?

Sikuwahi kumfikiria mke wangu kuwa anaweza fanya hiki alicho fanya kutokana na mambo ninayo wafanyia ndugu zake, na ndiyo maana huyu mtoto nilimleta hapa Kwa kuamini atamsimamia kama mwanae na kama anavyo wasimamia watoto wetu wawili.

Mpaka naogopa kwenda kazini na huyu mtoto kumuacha hapa, nahisi atampiga Yani
Je, Una uhakika kwamba hiki ulichoandika hapa kina ukweli au ni hadithi ya kutunga ili kufurahisha genge??
 
Mwanamke ukiishi naye miaka mitatu inatosha tupa kule vuta mwingine hili swala la mpaka kifo kitutenganishe ndo chaka lao la kufanya maujinga ndani ya ndoa........

Ndoa za mkataba Wazungu walicheza sana na wanaakili sanaa huwezi ishi na likiumbe ambalo halijaumbwaa vizur...........
 
Back
Top Bottom