900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
itisha kikao cha kamati kuu haraka sana piga chiniHabari wakuu, nipeni ushauri juu ya huyu mke amekua na tabia jambo nalojadili mimi na yeye kisha yeye kumpelekea mama yake na mama yake kuyasema kwa ndgu zake, ndugu hao hao wa ndani wanayaleta na ukiangalia ni kweli kabisa Jambo nilijadili mimi tu na mke.
Pasi na hivyo hayo yote anayojadili na mama yake ni ya kujitapa kuwa wamenishika na bado Sasa maneno yananifikia na ni ya kweli kabisa maana ni mambo ambayo nakua nimejadili mimi na mke tu Sasa hao wengine wanayajuaje naamini mke ndie anaemwambia mama yake.
Kiaje mkuu wala sijashikwa mkuu sema najali sana familia yangu yaan yeye na mtoto kila hitaji watakalo hawalikosi Sasa nahis hata navyompa anapeleka kwa mama yake Kisha wao kujinasibumbona kama kweli umeshikwa hivi
Yaaan nishida mke wangu ni anazaid ya uswahili yaantatizo la kuoa uswahilini
Hajanishika kwa asilimia zote Mia sema minimtu wakuchukulia poa so anatake advantage wakati minamchukulia timingAmekushika ama hajakushika? Hebu tuanzie hapo kwanza.
Mkuu hili tatizo limeshaisha kwa tiba yamazoezi nachakula pamoja saikolojia Sasa hivi Niko freshi tuRekebisha tatzo lako la nguvu za kiume kwanza View attachment 1635948
Mkeo anaangukia kwenye kundi wake wakorofi.Habari wakuu, nipeni ushauri juu ya huyu mke amekua na tabia jambo nalojadili mimi na yeye kisha yeye kumpelekea mama yake na mama yake kuyasema kwa ndgu zake, ndugu hao hao wa ndani wanayaleta na ukiangalia ni kweli kabisa Jambo nilijadili mimi tu na mke.
Pasi na hivyo hayo yote anayojadili na mama yake ni ya kujitapa kuwa wamenishika na bado Sasa maneno yananifikia na ni ya kweli kabisa maana ni mambo ambayo nakua nimejadili mimi na mke tu Sasa hao wengine wanayajuaje naamini mke ndie anaemwambia mama yake.
The only solution kwangu nikumrudisha kwao kumpa likizo isiyojulikana mwisho wake ili aone na ajifunzeSasa wewe unajuwa kuwa mkeo anafanya ujinga bado unakosa Cha kufanya kweli?!ndo maana anajinasibu kakushika nami ninamuunga mkono maana Nina wasiwasi na uanamme wako.
The only solution kwangu nikumrudisha kwao kumpa likizo isiyojulikana mwisho wake ili aone na ajifunz
Mkuu mke wa pili haongezwi kwa vile uchumi wako umefikia kiwango cha uchumi wa Kati.Mkuu mke wapili uchumi hauruhusu
Be strong and of good Courage!Life is zic zicHabari wakuu, nipeni ushauri juu ya huyu mke amekua na tabia jambo nalojadili mimi na yeye kisha yeye kumpelekea mama yake na mama yake kuyasema kwa ndgu zake, ndugu hao hao wa ndani wanayaleta na ukiangalia ni kweli kabisa Jambo nilijadili mimi tu na mke.
Pasi na hivyo hayo yote anayojadili na mama yake ni ya kujitapa kuwa wamenishika na bado Sasa maneno yananifikia na ni ya kweli kabisa maana ni mambo ambayo nakua nimejadili mimi na mke tu Sasa hao wengine wanayajuaje naamini mke ndie anaemwambia mama yake.
Miaka28
Nikweli Sasa mkuu hatanikijifunza ktk Quran na biblia Kama ilivoagizwa ntamlisha nin mkuuMkuu mke wa pili haongezwi kwa vile uchumi wako umefikia kiwango cha uchumi wa Kati.
BTW kusaka mke kwa kigezo cha ubora wa uchumi wako utajitesa. Mbinu za kunasa mke jifunze kwenye Quran na Biblia.
Miaka 28 bado mtoto. Mzibue vibao akili zitamkaa sawa, au tafuta mbadala.Miaka28
Mkeo anaangukia kwenye kundi wake wakorofi.
Dawa yake kama Dawa ya wanawake wakorofi wote ni kuoa mke wa pili.Basi!
c.c. Joanah nini maoni yako?
Mkuu anatabia yakushindana nandgu zangu kuwaonesha kuwa kanishika ndo Kama hivo anazua Jambo lakunihusu mim au hitaji lakipesa linalohusi ndani au lake binafsi Kisha kujigamba kwa ndgu zangu na mamayake anashupalia anaungana nae ktk vijembe kwa ndgu zangu kuwaambia kwa vijembe kupitia hao Marafiki wamama yake kanishka hakuna nitakacho akshindwa kutoa Sasa ndo namshangaa wakat mim natekeleza wajibu Kama mume kwafamilia yangu lakini nikama nayeye anahamishia kwa mama kile nachohanngaikia kwa ajili yngu yake nawatotoAmwambie mke ajifunze kutunza siri,kama akishindwa kutunza basi aanze kufanya mambo yake kimya kimya....kama mke atakuwa na akili atajifunza
Mkuu miaka28 kwa mwanamke akili imekomaaMiaka 28 bado mtoto. Mzibue vibao akili zitamkaa sawa, au tafuta mbadala.
Sent using Jamii Forums mobile app