Mke wangu ananidharau nifanyeje?

Hapo dawa zime-expire kwa muda.

Wahi kufanya maamuzi kabla haja-renew madawa ya kupumbaza akili yako ili ufanye atakavyo akutawale.
Kwamba dawa zimeexpire baada ya miaka nane ndiyo kasanuka😂😂😂😂😂😂👋
 
Una muda gani toka umeolewa naye?
 
Nani anawekewa maji bafuni siku hizi? wenzako wanafungua ya moto au baridi wanaoga, katafute hela usitusumbue
 
Kazi kweli kweli hao warangi nawasikia tuuuuu .....kuwa ni hatari ukiingia hutoki
 
Yap kuhusu kumkaza namkaza vizuri tu, na kumuhudumia nahudumia kulingana na kipato changu
Unaweza kudhani unamkaza vizuri kumbe yeye hana nyege kwa sababu ya kuondolewa ile kitu...kakeketwa!
 
Unakumbukanshuka kumeshakucha!

Nani alikudanganya mwanamke anaolewa ili amfulie Mumewe?
 
Tafuta hela dogo, nguo peleka kwa dobi. Maji peleka mwenyewe, hama chumba. Safiri bila taarifa. Hela ya kula kabidhi watoto au house girl. Atakaa sawa tu. Wala usimfokee
Wewe unafikiri jamaa ana house girl?
 
Mwanamke kukufulia au kutokukufulia ni kwa mapenzi yake lakini siyo katika misingi ya kuoana.
Thanks mkuu, noted! Ila jamani sisi wanaume tumebebeshwa majukumu mengi kisheria, hili la kufuliwa nguo na kutengewa maji sijui kwa nn halijakaziwa kisheria, anyway acha tuishi tu
 
Jitambue,

Mnyooshe atakuheshimu.

Heshima inaanza na wewe mwenyewe.

Kama unaenenda hovyo hakuna ataekuheshimu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…