Inawezekana hata hao watoto sio wako ndo maana anakudharau
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakazia hapo kwenye safiri bila taarifa "rudi ukiwa umeshiba
Kwamba dawa zimeexpire baada ya miaka nane ndiyo kasanuka😂😂😂😂😂😂👋Hapo dawa zime-expire kwa muda.
Wahi kufanya maamuzi kabla haja-renew madawa ya kupumbaza akili yako ili ufanye atakavyo akutawale.
Una muda gani toka umeolewa naye?Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua.
Kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.
Nawasilisha.
Pia soma: Asanteni Jf kwa ushauri wenu na hiki ndicho nilichokiamua
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwenda kuoga mtoni unaona nini?Yani kuwekewa maji ya kuoga ndiyo iwe habari?Nenda mtoni uoge.
Unaweza kudhani unamkaza vizuri kumbe yeye hana nyege kwa sababu ya kuondolewa ile kitu...kakeketwa!Yap kuhusu kumkaza namkaza vizuri tu, na kumuhudumia nahudumia kulingana na kipato changu
Unakumbukanshuka kumeshakucha!Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua.
Kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.
Nawasilisha.
Pia soma: Asanteni Jf kwa ushauri wenu na hiki ndicho nilichokiamua
Wewe unafikiri jamaa ana house girl?Tafuta hela dogo, nguo peleka kwa dobi. Maji peleka mwenyewe, hama chumba. Safiri bila taarifa. Hela ya kula kabidhi watoto au house girl. Atakaa sawa tu. Wala usimfokee
Duh! Wanaume tunapitia magumu! Nashukuru wa kwangu ananifuliaUnakumbukanshuka kumeshakucha!
Nani alikudanganyamwanamke anaolewa ili amfulie Mumewe?
Mwanamke kukufulia au kutokukufulia ni kwa mapenzi yake lakini siyo katika misingi ya kuoana.Duh! Wanaume tunapitia magumu! Nashukuru wa kwangu ananifulia
Thanks mkuu, noted! Ila jamani sisi wanaume tumebebeshwa majukumu mengi kisheria, hili la kufuliwa nguo na kutengewa maji sijui kwa nn halijakaziwa kisheria, anyway acha tuishi tuMwanamke kukufulia au kutokukufulia ni kwa mapenzi yake lakini siyo katika misingi ya kuoana.
Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike, sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu. Sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua.
Kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe, mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui! Hali hii inanishangaza na kunisikitisha, sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje? Upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau, naomba ushauri wenu.
Nawasilisha.
Pia soma: Asanteni Jf kwa ushauri wenu na hiki ndicho nilichokiamua