Mke wangu ananidharau nifanyeje?

Mke wangu ananidharau nifanyeje?

Hapo dawa zime-expire kwa muda.

Wahi kufanya maamuzi kabla haja-renew madawa ya kupumbaza akili yako ili ufanye atakavyo akutawale.
Kwamba dawa zimeexpire baada ya miaka nane ndiyo kasanuka😂😂😂😂😂😂👋
 
Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua.

Kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.

Nawasilisha.

Pia soma: Asanteni Jf kwa ushauri wenu na hiki ndicho nilichokiamua
Una muda gani toka umeolewa naye?
 
Nani anawekewa maji bafuni siku hizi? wenzako wanafungua ya moto au baridi wanaoga, katafute hela usitusumbue
 
Kazi kweli kweli hao warangi nawasikia tuuuuu .....kuwa ni hatari ukiingia hutoki
 
Yap kuhusu kumkaza namkaza vizuri tu, na kumuhudumia nahudumia kulingana na kipato changu
Unaweza kudhani unamkaza vizuri kumbe yeye hana nyege kwa sababu ya kuondolewa ile kitu...kakeketwa!
 
Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua.

Kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.

Nawasilisha.

Pia soma: Asanteni Jf kwa ushauri wenu na hiki ndicho nilichokiamua
Unakumbukanshuka kumeshakucha!

Nani alikudanganya mwanamke anaolewa ili amfulie Mumewe?
 
Tafuta hela dogo, nguo peleka kwa dobi. Maji peleka mwenyewe, hama chumba. Safiri bila taarifa. Hela ya kula kabidhi watoto au house girl. Atakaa sawa tu. Wala usimfokee
Wewe unafikiri jamaa ana house girl?
 
Mwanamke kukufulia au kutokukufulia ni kwa mapenzi yake lakini siyo katika misingi ya kuoana.
Thanks mkuu, noted! Ila jamani sisi wanaume tumebebeshwa majukumu mengi kisheria, hili la kufuliwa nguo na kutengewa maji sijui kwa nn halijakaziwa kisheria, anyway acha tuishi tu
 
Jitambue,

Mnyooshe atakuheshimu.

Heshima inaanza na wewe mwenyewe.

Kama unaenenda hovyo hakuna ataekuheshimu.
 
Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike, sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu. Sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua.

Kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe, mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui! Hali hii inanishangaza na kunisikitisha, sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje? Upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau, naomba ushauri wenu.

Nawasilisha.

Pia soma: Asanteni Jf kwa ushauri wenu na hiki ndicho nilichokiamua
 
Back
Top Bottom