Mke wangu ananidharau nifanyeje?

NA wewe mdharau
 
Mwanaume yeyeto asiyeheshimika na mke wake hawezi kuwa na maendeleo. KILA nyuma ya maendeleo ya mwanaume yupo mwanamke na kinyume chake pia.



Mwanamke anaweza kuwa ni Mama yake mzazi na huyo Mwanaume.


Sio lazima awe wife au mchepuko.

Wala wives wasitake kujisifu bure.

Misingi huwekwa na mama wazazi [emoji108]
 
Kwa nn uoe tafuta dada wa kazi mpime ukimwi na magonjwa mengine
 
Hekima na dharau mwanamke ufunzwa na mama yake usioe bila kuzijua tabia za mama yake
 
Mkuu ebu idadavue kidogo hii kitu

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Ili mwanaume awe na maendeleo anategemea utulivu wa mke nyumbani, nyumba yeyeto yenye vurugu na kelele malaika wa pesa au ridhiki akai nyumba hio.Mwanamke anapokuwa positive anakujaza nguvu za kiroho za utafutaji.
Ili ufanikiwe ni lazima ulimwengu wako wa roho uwe safi.
Amani ya moyo akili ya maendeleo utulia kichwani unawaza maendeleo na sio kichwaa kujaa ugomvi, vurugu, kelele za mke, nk.
 
Wewe ndio mke sasa hapo hauna namna ,, na huo ndio ukweli mchungu
 
Binafsi Mimi sipendagi dharau. Huwa Niko straight sana. Maisha magumu sana. Sasa kuishi kwa kumlamba mwanamke miguu hapana. Unajua wanaume tunaumia sana lakini bado Huwa tunajipa moyo eti ndio uanaume.. sio kweli, tunakuwa mishumaa tu!
Lazima ifike wakati atambue majukumu yake. Huyo umri ukiyoyoma ndio utaipata fresh.

Kuna mzee hapa alikuwa manager wa bank. Baada ya kupata matatizo ya kisukari akawa kipofu. Alinyanyasika ikafikia hatua watoto wa jirani ndiyo wanamsaidia. Akawa anasema natamani nyie ndiyo mngekuwa wanangu. Mke full manyanyaso. Watoto hawamjali. Anawaita wampeleke chooni hawaji mpaka anajisaifia papo hapo. Baada ya kufariki waliteseka kama mbwa. Na nyumba yenyewe Hadi ikaungua moto. Full laana.
Alijitoa kwa jasho awatunze mke na watoto malipo yakawa ndiyo hayo Tena.

Sometimes mazingira yanatufanya kuwa makauzu.
 
Na wewe ni mwanaume kweli? Au umeolewa ety?
 
Kabisaa mzeee kazi ndogo sana hizi mke anakazi nyingi so kazi kama hizi unamsaidia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…