Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Pambana na hali yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap kuhusu kumkaza namkaza vizuri tu, na kumuhudumia nahudumia kulingana na kipato changuJe unamkaza vizuri?..je unahudumia familia inavyotakiwa?
Mkewe uliambiwa ni mjeuri au ni malaya,usichanganye mambomuulize masanja ana majibu mazuri.
Asante mkuuPambana na hali yako.
Yaani unamkaza vizuri halafu bado anakudharau?!Yap kuhusu kumkaza namkaza vizuri tu, na kumuhudumia nahudumia kulingana na kipato changu
Usikute ana kisirani cha kutofikishwaJe unamkaza vizuri?..je unahudumia familia inavyotakiwa?
Kwahilo hapanaYaani unamkaza vizuri halafu bado anakudharau?!
Hebu weka picha yake hapa nimtathimini kama huwa anakazwa vyema na wewe 🤣
Bado hujawaelewa wanawake.Hakuna mwanamke mjeuri mbele ya mwanaume mwenye pesa
Tafuta hela mkuu..weka maji ya shower bafuni ikiwezekana funga ata ile heater ndogo ya instant kama iliyopo guest na kuhusu kufua nunua kimashine chako kidogo cha kufulia .maisha yatakua poa tu wala usiwaze maisha hayo ya kizaman ya kuwekewa maji na ndoo ama kufuliwa.ukiona kama chakula hakupi nunua jiko lako dogo la gesi na sufuria zako 2 unasongesha maisha.kama hakuvulii chupi wewe unajipigia zako wale mademu poa wa buku 5 ama ten maisha yanasonga.usimuache ama kuoa mwingine maana unaeza oa nyingine ukajikuta umeongeza tatizo full ugonjwa wa moyo.ww fanya kama nilivokutonya utakuja kunishukuru mkuu.Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua, kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.
Nawasilisha.
Baada ya kuzaa ndio akaanza vimbwangaWe ni fala sana yaan hata kbla hajakuzalia alkufanyia hvyo na ukakubal
Chamsingi pambana na hal kama Anakupa ndogo sawa!
Nakazia hapahili ndio tatizo la kutaka fananisha maisha ya wengine na yako,miaka yote mmeishi wote ulikuwa una jiwekea maji wala hauja ona taabu leo umekaa kijiweni umeskia wenzako wana pelekewa maji na kufuliwa boxer na wewe unataka, kumbuka hata mbuyu ulianza kama mchicha na samaki mkunje angali mbichi. Mkeo ulitakiwa mfundisha toka mko kwenye uchumba leo usha mtumia ana watoto wa tatu una taka mvunja kiuno tena abebe maji kwenda bafuni ungekuwa una taka haya unge mwambia toka unataka mwoa angejipanga. So siku shauri uoe mwingine maana mpaka hapa inaonyesha hauna kipato cha kutosha utakuwa una jipa presha zaidi ya kudaiwa matumizi nyumba mbili.
Kumaliza tatizo sio mke mpya jibebe maji yako fuo boxer zako kama ulivyo kuwa unafanya wanao fanyiwa waachie wao hayo.
Ndio maana yakeKwahilo hapana
Kupelekewa maji bafuni ni mambo ya kale sana.
Sikuizi maji yapo bafuni ni kufungua koki na kuoga tuKupelekewa maji bafuni ni mambo ya kale sana.
Mkuu mbona mimi Baba yangu siyo Muislamu na ana wake wawili, Babu yangu pia siyo Muislamu lakini kaoa wake wa3Kama ni Muislamu dini inaruhusu. Wanawake wanaogopa ushindani tu hofu ya kuletewa mwingine