Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaHakuna mwanamke mjeuri mbele ya mwanaume mwenye pesa
Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua, kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.
Nawasilisha.
muulize masanja ana majibu mazuri.Hakuna mwanamke mjeuri mbele ya mwanaume mwenye pesa
Asante kwa ushaur wako mkuuTafuta hela dogo, nguo peleka kwa dobi. Maji peleka mwenyewe, hama chumba. Safiri bila taarifa. Hela ya kula kabidhi watoto au house girl. Atakaa sawa tu. Wala usimfokee
🤣🤣🤣Mrangi??
Anyway, huyo mpandishe cheo awe mke mkubwa tena mtafutie mrangi mwenzake walogane vizuri.
Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua, kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri
Nawasilisha.
AiseeRudi kwenu bunda nae arudi kwao kondoa
Hapana mkuuItakua umeolewa wewe!
Nimechoka mkuuSasa kama umevumilia miaka nane, shida nini kuishi tu milele hivo hivo
Daah!Mrangi tena huyo kashapata danga lenye pesa, mwanamke akishapata mwenye pesa kukuzidi lazima udharaulike
Kwahiyo nitafute mwingine, Mkuu nimefika mwishoUZI ULITAKIWA UISHIE HAPO KWENYE UMEOA (MRANGI)
UJue vijana tunakosea kujua tabia za makabila,
Huwezi kuishi na mke wa kirangi kama unavyoishi na mke mnyamwezi!
Huwezi ishi na mke wa kichaga kama unavyoishi na mke mzaramo!
Kila kabila lina mbinu zake, Tatizo kubwa lipo kwa waoaji wanaume sisi ndo hatutambui!
Kabla hujaoa kama huwezi kucheza na biti za hilo kabila kwanini unaoa?
Walangi ni wababe na ni watamu na ubabe wao , wachaga ni jeuri lakini ujeuli wao unafaida, wazaramo wana mauno wanafaida na mauno yao!
Ukitaka sifa za huku ulete kule utachemka tu!
Oweni wake wa matamanio yenu bhana mnatusumbua kutoa ushauri
Ajabu huyo unaesema hapeleki maji akiolewa na mwingine maji anatenga vizuri!
Siku moja jamaa alimuacha mwanamke kisa hakati mauno, lakini alikoenda kuolewa jamaa yake alikatiwa mauno balaa!
Hivyo tatizo siyo mwanamke ni namna ya kumuanzisha, unavyoanza naye ndivyo mtakavyomaliza
Nitalifanyia kazi mkuu shukraniDuh aise sijui wamekushaurije huko juu lakini kazi unayo...
Em fanya umrudishe kwanza kwao halafu unipe taarifa nianze kukushauri maana inaonekana wewe mpole af mkeo nunda