Mke wangu ananidharau nifanyeje?

Mke wangu ananidharau nifanyeje?

We ni fala sana yaan hata kbla hajakuzalia alkufanyia hvyo na ukakubal
Chamsingi pambana na hal kama Anakupa ndogo sawa!
 
Haya ndo matatizo ya kujifanya una mapenzi saana, wewe aliyekutumaga ni nani uwe unamsaidia kazi za nyumbani mzee uko mwanzoni?

Mnajikorogaga mwanzoni kabisa alafu tukiwaambia mnasema sisi hatuwapendi wandani wetu.
Kazi uliyofanya msharah wake ndo huo
 
Hakuna mwanamke mjeuri mbele ya mwanaume mwenye pesa
Bado hujawaelewa wanawake.
Unaweza kuwa na pesa za kutosha ila kitandani ukiwa goi goi na akaanza kunyooshwa huko nje, jeuri iko pale pale na pesa watapelekewa hao wabanguaji.

Hivi viumbe ni unpredictable ni kuishi navyo kwa akili km maandiko yanavyosema.
 
Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke ( Mrangi) na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua, kinachoniuma ni kuona watoto wakishuhudia mimi kama baba wa familia nikiwa nafua nguo zangu mwenyewe mke nikimwambia anifulie wakati mwingine anajibu kabisa kuwa sifui hali hii inanishangaza na kunisikitisha sasa naombeni ushauri nioe mwingine au nifanyeje upendo kwake kiukweli haupo kutokana na anavyonidharau naomba ushauri wenu.

Nawasilisha.
Tafuta hela mkuu..weka maji ya shower bafuni ikiwezekana funga ata ile heater ndogo ya instant kama iliyopo guest na kuhusu kufua nunua kimashine chako kidogo cha kufulia .maisha yatakua poa tu wala usiwaze maisha hayo ya kizaman ya kuwekewa maji na ndoo ama kufuliwa.ukiona kama chakula hakupi nunua jiko lako dogo la gesi na sufuria zako 2 unasongesha maisha.kama hakuvulii chupi wewe unajipigia zako wale mademu poa wa buku 5 ama ten maisha yanasonga.usimuache ama kuoa mwingine maana unaeza oa nyingine ukajikuta umeongeza tatizo full ugonjwa wa moyo.ww fanya kama nilivokutonya utakuja kunishukuru mkuu.
 
Wee ndo una matatizo
Mkeo ndo alipaswa kuomba ushauri
 
hili ndio tatizo la kutaka fananisha maisha ya wengine na yako,miaka yote mmeishi wote ulikuwa una jiwekea maji wala hauja ona taabu leo umekaa kijiweni umeskia wenzako wana pelekewa maji na kufuliwa boxer na wewe unataka, kumbuka hata mbuyu ulianza kama mchicha na samaki mkunje angali mbichi. Mkeo ulitakiwa mfundisha toka mko kwenye uchumba leo usha mtumia ana watoto wa tatu una taka mvunja kiuno tena abebe maji kwenda bafuni ungekuwa una taka haya unge mwambia toka unataka mwoa angejipanga. So siku shauri uoe mwingine maana mpaka hapa inaonyesha hauna kipato cha kutosha utakuwa una jipa presha zaidi ya kudaiwa matumizi nyumba mbili.
Kumaliza tatizo sio mke mpya jibebe maji yako fuo boxer zako kama ulivyo kuwa unafanya wanao fanyiwa waachie wao hayo.
Nakazia hapa
 
Back
Top Bottom