Mke wangu ananifuatilia FB

Kuna siku mme wangu alipropose tujitoe FB nikamuhoji kwa nini; hakuwa na strong arguments. Mimi nikaisifu kuwa inasaidia ku connect na marafiki zetu wa siku nyingi wengine wa primary school ambao hatukutarajia kucommunicate nao tena.

Ila sasa naanza kushawishika. Kwanza mimi sifungui FB mpaka nikute e mail alert kuwa nina message; hence am not addicted to it at all. Ngoja nimwambie tujitoe ila sijuhi kama atakubali maana naona sasa amekuwa engaged sana na hiyo kitu kuliko mimi niliepinga.

Kweli unajua hii yaweze kufanya ma ex kurudiana. Hasara ni kubwa kuliko faida ya kuwa FB.

 

Once again, you've scored points with me. Your husband is a very lucky man.

You are always clear. Never wishy-washy.
 
Mi nakushauri hivi mwambie ndio wote unatoka nao halafu muulize anatakaje?wala usipepese macho wala kujitetea tena,mwambie huku ukiwa serious ni kweli halafu uone akikupeleka kwa wakwe waulize kama ameleta ushahidi,coz wewe mfungwa kwani?au unamuogopa?
 
huyu jamaa kaingia leoleo humu jf na katuletea homework ya demu wake....mambo mengine hata tukiongea mpaka tukaukiwe koo au tuandike mpaka vidole vivimbe, mwisho wake mwenye uamuzi ni wewe kwa sababu ndiye uliyeoa na ukaahidi kuwa mtapendana katika shida na raha. hivo vumilia hata kama jamaa wanamega. pole lkn hayo ndiyo madhara ya kuvamia utandawazi bila kujiandaa kukabilianan na changamoto zake.
 
<br />
<br />
No inawezekana jamaa yupo JF muda mwingi.ila kaamua kubadili ID ili aweke uzi wake.
 
<br />
<br />
No inawezekana jamaa yupo JF muda mwingi.ila kaamua kubadili ID ili aweke uzi wake.

Thanks Fe umenisaidia. Mie member tangu JAMBO FORUMS. Huu uzi sio hadithi ni kweli na inaniumiza
 
Mzee mzima hii yako kali, yaani umeoa au umeolewa maana kwa maelezo yako mwenyewe huna mke hapo maana waswahili wanasema, Mtenda akitendewa hujihisi kaonewa au mkuki kwa Nguruwe kwa Binadamu mchungu.
 
Mzee mzima hii yako kali, yaani umeoa au umeolewa maana kwa maelezo yako mwenyewe huna mke hapo maana waswahili wanasema, Mtenda akitendewa hujihisi kaonewa au mkuki kwa Nguruwe kwa Binadamu mchungu.

Maelezo yako mafupi lakini yananikanganya, unaweza kufafanua twende sawa tafadhali.....
 

Haijalishi mkuu, mie ni member wa enzi na enzi, tangu Jamii Forum ikiwa Jambo Forum, ID ya leo isikuumize kichwa sana ushauri ndo ninaohitaji na nitaufanyia kazi
 
IGWE jua kwamba huyu sio demu wangu, ni MKE wa ndoa na hapo ndipo nashindwa nifanye nini na kuamua kuwaomba ushauri
Kwani unadhani Nelson Mandela na Winnie Mandela hawakuwa na ndoa? au unadhani Al Goren hakuwa na ndowa? acheni kuwa wajinga na mazezeta kwa visingizio vya ndoa, na ndio maana kuna neno Divorce. Ebo!
 
Nikwambie kaka, ondoka huko facebook uondokane na mabalaa, pia ninavoua sie binadamu tunapokuwa na majambo yetu tunadhani na wenztu wanafanya hivohivo, hapa naona kabisa mkeo sio mwaminifu na anaendelea na mambo yake, this time ukimshika mpeleke resi aone kwamba na wewe uko ngangari
 
sijui upande mwengine wa shilingi,ila kama unayoaelezea ndivyo yalivyo,inaonyesha upo weak sana kwa mke wako{samahani lakini}na hata ufanyaje ataendelea kuwa hivyo hivyo.visingizio visivyoisha,kwani hiyo ndio tabia yake.hata ukiacha kuingia face book,atatafuta visingizio vyengine.hiyo issue ya kucheat anafanya vibaya,juu ya yote wewe ndio muamuzi.kwani wewe ndie unaemjua vilivyo
 
Deactivate your FB account for a period of time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…