Mke wangu ananifuatilia FB

Wa2 wengine bhana cjui hacra zao ziko SILENT au VIBRATION! umegundua anatembea na rafiki yako kweli unamsamehe!! hata kama ni mke! haki y mungu baba angu mwanaume ningepiga nusu y kuua na talaka juu.
 


Pole sana kaka. Binafsi sioni faida yoyote ya FB ambayo inaweza kukufanya ndoa yako iwe ktk hati hati kisa fb. Najua ina addiction fulani hivi, lakini jaribu kujitoa kabisa hata kwa muda uone visingizio vya huyu bibie kama vitaisha. Pili.. kama ni mkosefu wa uaminifu jaribu kumfuatilia tena asije leta magonjwa kwenye familia yenu. Tatu.. wewe na mwenzio jitahidini kuepuka mazingira au mambo ambayo yanaweza kumfanya mwenzio kuhisi kuibiwa au kupata wivu. Kila la kheri
 
Wa2 wengine bhana cjui hacra zao ziko SILENT au VIBRATION! umegundua anatembea na rafiki yako kweli unamsamehe!! hata kama ni mke! haki y mungu baba angu mwanaume ningepiga nusu y kuua na talaka juu.

Nimependa hapo kwa red.. haha hahaa
 
We mwanampotevu ushapotea. Kuanzia leo kuwa mbabe kwake akikusumbua na wewe mpandishie ila usimpige tu.judge atakupiga ban la kuonekana kitaani.
 
Wa2 wengine bhana cjui hacra zao ziko SILENT au VIBRATION! umegundua anatembea na rafiki yako kweli unamsamehe!! hata kama ni mke! haki y mungu baba angu mwanaume ningepiga nusu y kuua na talaka juu.


Kwakweli umenichekesha sana lakini huku nikipata funzo ndan yake. Thanks sanaaa
 

Asante kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi neggirl
 

kisukari nakushukuru maana inaonyesha hata nikijitoa fb mambo haya anaweza kuendelea nayo, kama jinsi alivyofanya akitumia simu na akitumia kisingizio cha kuwa kaambiwa nina wapenzi kazini. ndio maana mie sioni kama kweli fb ndio sababu lakini nataka nijitoe kwa muda nione atasingizia nini. hata hivyo yeye pia yuko fb na mie huwa simfuatilii huko hata kidogo na sipendi kufuatiliana maana naamini ni kujipa ugonjwa wa moyo. lakini sijauelewa huo u=weak wangu ni kutokana na kuwa mpole na kumsamehe kila wakati au la?
 
Umezidi upole kaka, shake vitu kidogo awe na adabu
 
Achana na facebook ujinga tu huko mie hata kutumia sijui

Dena amsi siamini kama kweli ushauri huu umetoka kwako maana naamini kuwa u mshauri mzuri wa mambo haya. Kumbuka hata nje ya fb kishaniletea mambo hayo akichunguza simu yangu akidhani nina wapenzi natumiana nao msg, hakupata zaidi ya kugombeka kila msg ya mwanamke hata mfanyakazi mwenzangu nikitumiwa hata ikiwa ya kikazi. bado akanisukumia tuhuma za kuwa na wapenzi kazini. je, utashauri hata kazi na simu niache pia??? hebu soma post yangu yote labda utanishauri vinginevyo. hata hivyo naheshimu ushauri wako pia
 
Umezidi upole kaka, shake vitu kidogo awe na adabu

Shantel inawezekana nikakubaliana nawe. Lakini upole wangu sio uzezeta, tatizo langu huwa sipendi kabisa ugomvi wa kurushiana maneno kwahiyo huwa na-opt kukaa kimya na kisha kumwambia baada ya kuwa ametulia. Pili siwezi kabisa kumpiga kwa sababu najijua nina nguvu na naweza kuua yawe matatizo mara mbili. Tatu dini inanisumbua sana maana tumefunga ndoa vinginevyo huwa nasema bora ningekuwa mwislamu, angeshakula talaka long time. lakini naufikiria ushauri niliopewa humu maana ni kweli hata Mandela alikuwa na ndoa, why kwangu ishindikane. nadhani inaweza kuwa suluhisho kwa njia moja.
 
mke wangu au mke wetu...naye wivu wa nini wakati cha mbele chake chenu!
 
kuna usemi unasema kua uyaone nadhani sasa ni wakati wakufikiria kwa kina kabla yakutenda maana kila lenye mwanzo alikosi mwisho
 

hapa msaada unao mwenyewe amua ndoa yako ama kubaki na facebook easy akija na mengine usiache kutuletea tukupemawazo ila kuna ma binti wengi humu jaribu kuwa pm wakupe mawazo wengi wanaogopa kuweka hadharani
 

kama ulijua yataendela ulibeba zigo la nini mpwa???ndoa ndoano sio mchezo wa bao ooohh uliza wanaotamani kunngekuwa na exp date kwenye cheti cha ndoa lakini too late sikutishi ila anaekomaa mpaka mwisho ndie anaeshinda
karibu kwa mwakasege pale kinondoni tukupe neno likutoe kwenye shida ndogo ndgo kama hizo m nilijua kaweka sumu
umechomoa kumbe hili yanatibika kabisa njoo nakanguo chake hata cha ndan poa wakisema kuombea nguo unakafunga kwenye uwazi unakaiinua juu unaombea mkeo abadilike easy
 

hahahahahahahahaha pdiddy umeniacha hoi, lakini asante nimekusoma
 
Kwa kweli kwa maneno yako huyo mkeo anakuchezea kwani yeye ndio anakulisha humo ndani?
maana siamini kuwa umemkamata analala na rafiki yako na bado anakosa adabu ya kutaka kuku control maishani mwako

na inaonekana hiyo tabia hataacha ya kukuibia au anaambiwa na marafiki zako hata huyo uliyemkamata nae inawezekana bado wanalala wote na ndio anakuchongea mgombane.

ila alikuibia worse na rafiki yako kwa nini bado unamruhusu akukalie kichwani kuwa mwanaume mwambie aache usumbufu huo au fungua fb nyingine mblock weka watu wa circle ingene enjoy bwana sio shida kuwasiliana na ma ex kama mliachana kwa uzuri bila kugombana

fb haina shida kwa mimi sioni tabu yake ila wewe ukimchunguza anaakina nanikwenye yake basi utalia

usimuamini hata kidogo huyo mkeo samahani nakuambia bila kuficha maneno ila umweleze kuwa kuna magonjwa na wewe unadhani anaiba bado na uwe a man asikuzungushe kichwa hata kidogo ana bahati unampenda nini anakusumbua na ni a cheater?

kuwa mkali anza kwenda ku hang out na ur friends utaona atanyooka na kukuheshimu. akipiga simu pokea sema uko bar rudi home endelea na maisha kwenda bar unaweza kukaa na kunywa soda inasaidia pia.

n.b. endelea kumchunguza pia analake, hawa wanawake ndio wanaweza leta mimba ya nje wakasema ya mume.

Good luck
 

Mbogopopo thans very very much kwa ushauri wako brother kwakweli naweza kusema kati ya wote walionishauri, huu nau-rank as no.1 for sure. nitaufanyia kazi immediately and naamini it'll work kwa kiasi kikubwa. once again thaks a lot brother!!!!!
 
pole sana kaka yangu! samahani sana kwa kusema mkeo hajatulia hata tone kisakolojia anahisi hata ww hujatulia kama yy inavyoonekana hujawahi kutendwa sasa huko ndo kutendwa,inaonekana unampenda sana mkeo chunguza weak point ya mahusiano yenu fanyia kazi hiyo k2 utaniambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…