Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

Kwamba shangaziyo alijua umebadili jina,day nimecheka sana.
Mashangazi wana balaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mzee wa jamaa hakuona tatizo ila dada zake sasa.. Lakini pia sio tabia nzuri kwamba Kuonesha wao ndo wanapendana sana au ndp uzungu??? Hapo msibani alisikia nani mwingine wanaitama hivyo na mumewe???
 
Huu ni mwaka wa 10 nikiwa na mke wangu na tuna watoto watatu, tunaitana Dear miaka yote tangu tukiwa wapenzi mpaka sasa, iwe mbele ya ndugu zangu au ndugu zake hata wazazi na sijawahi kuhisi vibaya naona poa tu hata watoto wetu wamezoea, sijawahi kumuita mama flani au kuitwa baba flani au hata kuitana majina.
Sasa sijui kwako shida inatoka wapi?

Ndoa miaka 10 unataka kugundua nini mkuu?situlishakubaliana ndoa ni miaka 3 tu
 
Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.

Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia
Jaribu kujitahidi uwe mbali na ushamba ili ufurahie maisha yako na mkeo
 
Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.

Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my......
Siku ukifukuzwa kazi uliyonayo hapo ndipo itakapokuwa mwisho wa jina hilo.

Vumilia mkuu..
 
Huu ni mwaka wa 10 nikiwa na mke wangu na tuna watoto watatu, tunaitana Dear miaka yote tangu tukiwa wapenzi mpaka sasa, iwe mbele ya ndugu zangu au ndugu zake hata wazazi na sijawahi kuhisi vibaya naona poa tu hata watoto wetu wamezoea, sijawahi kumuita mama flani au kuitwa baba flani au hata kuitana majina.
Sasa sijui kwako shida inatoka wapi?
Na mie nashangaa hapo. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa kabisa mkuu,Mimi mtoto wangu wa kiume nikisikia anamwita mama yake mamiiii ile ya kuvuta nakasirika kinoma. Mkishakuwa na watoto itaneni baba au mama Fulani inatosha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu lol
 
Ila wengine wamezidi jamani
Sisi waafrika tuna mila zenye staha kidogo sio kama hao wazungu tunaowaiga wanaopigana denda hata mbele ya wazazi wao.
Kuna mmoja huyo tuko msibani anakazana tu kumuita mumewe Darling na kujibebisha hovyohovyo mbele za watu.
Sisi wanaume wa kiafrika hayo mambo hatujayazoea jamani, kuna mazingira hua tunaona ni kero.
Sasa si waachane, kila mtu atafute wa type yake lol.
 
Back
Top Bottom