Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

Wewe una tatizo kubwa mkuu.Hilo ni jambo la kufurahia na hata kupeleka sadaka ya shukrani kanisani na siyo kunungunika unless kama ulioa mtu usiyempenda.
Mimi nina miaka kama saba kwenye ndoa nafurahia sana wife akiniita atakavyo hata iwe kanisani kwenye umati wa kutosha.
Sawa mkuu ila sio kila mahara kuniita hivyo awe anaangalia na mazingira ya kuniitia, kweli tuko kwenye msiba unaanza kuniita jina la mahabah citaki hivo unaonyesha nini?
 
Sawa kabisa mkuu,Mimi mtoto wangu wa kiume nikisikia anamwita mama yake mamiiii ile ya kuvuta nakasirika kinoma. Mkishakuwa na watoto itaneni baba au mama Fulani inatosha.
[emoji1787][emoji1787] pole mkuu
 
Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.

Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my......

Sasa majuzi tulienda nyumbani kijijini kuhani pia na tulikuwa na kikao cha kujuana kama wana ukoo, ni mara yake ya kwanza kuenda nae kijijini kwetu, ila jambo lilonikera kwa mke wangu ni kunifuata fuata kila napoenda kukaa na ndugu kupiga stori na asiponiona kuniita kwa sauti honieeee ndgu wote walikua kimya, kumsikiliza yeye hana muda wa kushangaaa au kushituka kabisa.

Kuna shangazi moja anae mfuata Baba angu kaniita na kuniuliza mwanangu ulibadili jina siku zote tunakujua unaitwa fulani au baba fulani mbona nasikia jina jipya? Sikumpa jibu la moja kwa moja......

Sio kutokua romantic nataka kumwambia mke wangu aache kuniita hivyo mbele za watu hususani ndugu zangu na staki kumkatisha tamaa kwasababu ananiita kwa hisia kali (out of emotion) ila hajui kujicontrol kujua wapi pakuniitia hayo majina yake, naomba ushauri nimuanze je huyu mke wangu bila kumuathiri kihisia na kisaikolojia.
Kuna jamaa anaitwaga mbele ya ya yeyote "we Mbwa" sijui yy aweke wapi bandiko lake!!!
 
Soma hoja yangu sio kuiitwa hilo jina hapana tatizo ni mazingira anao niitia hilo jina, inakua kero, kwamiaka yote ananiita hivo tukia home sina shida nalo ila tukiwa msibani kwa ndgu na jamaa nikama linaleta karaha na chuki kwao.
Kwamba ndugu wanapata karaha na chuki mkeo akikuita honey 🙄, hiyo relation ni yako na mkeo au na ndugu nao wamo humo humo?!!
 
Sawa kabisa mkuu,Mimi mtoto wangu wa kiume nikisikia anamwita mama yake mamiiii ile ya kuvuta nakasirika kinoma. Mkishakuwa na watoto itaneni baba au mama Fulani inatosha.
unachukia nini sasa mtoto kumuita hivo mamy ake 😃
 
Kwamba ndugu wanapata karaha na chuki mkeo akikuita honey [emoji849], hiyo relation ni yako na mkeo au na ndugu nao wamo humo humo?!!
Ndgu ni muhimu katika relation zetu za kiafrixa ukitenga ndgu umejitenga wewe mwenyewe, huyu mama mke wo sio ndgu wako wakudumu mda wowote anakugeuka, usibugudhi ndgu zo kwaajili ya mke wako.
 
Mkuu wala usiwaze sana mbona simple yani ndugu zako wasikupe tabu huyo ni mke wako mpe uhuru mwache ajiachie kwani kukuita hivo kuna tatizo? Mimi nlicho kiona ni unateseka na saikolojia ya ndugu zako kwa mda mlio dumu kwenye ndoa na bado anakuita majina mzuri kama hayo aise its a golden chance be free ... be free mzee huyo ndo ubavu wako mfanye awe huru hata mkiwa wapi ... sisi wengine tunaitwa baba flani na ndoa haina hata miaka 5 ....
 
Ndgu ni muhimu katika relation zetu za kiafrixa ukitenga ndgu umejitenga wewe mwenyewe, huyu mama mke wo sio ndgu wako wakudumu mda wowote anakugeuka, usibugudhi ndgu zo kwaajili ya mke wako.
okay honey
 
Ahsante mkuu, kwakweli mbele ya watu unainekana kama mtu ambaye kasha tekwa na unatawaliwa na mke,
Yaan mtu kukuita honey ndo unaonekana umetawaliwa na mwanamke? Aisee baadhi ya wanaume wa kibongo ni shida na masikitiko. Duuh[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
acha gubu

unataka akamuite nani

kuna nini cha ajabu hapo???
Ila wengine wamezidi jamani
Sisi waafrika tuna mila zenye staha kidogo sio kama hao wazungu tunaowaiga wanaopigana denda hata mbele ya wazazi wao.
Kuna mmoja huyo tuko msibani anakazana tu kumuita mumewe Darling na kujibebisha hovyohovyo mbele za watu.
Sisi wanaume wa kiafrika hayo mambo hatujayazoea jamani, kuna mazingira hua tunaona ni kero.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 we jamaa hii Id yako bana sikuisoma mkuu upo sawa kweli!😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
Teh teh teh teh teh..😂😂😂..huyu mwamba kuna 'fyuzi' imelegea kichwani haaaa haaa haaaa 😂😂
 
Back
Top Bottom