Daktari W Sindabhalla
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 600
- 580
,,,,,,, Sweet Moment. Fanya Faster dogo,,,, unachelewa kuitwa majina mazuri huku.ngoja nioe kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
,,,,,,, Sweet Moment. Fanya Faster dogo,,,, unachelewa kuitwa majina mazuri huku.ngoja nioe kwanza
KamandaWanaume naomba jibu, je mungependa tuwaite jina gani la kimahaba, au linalokutofautisha na wanaume wengine ukiachana baba fulani?
Soma hoja yangu sio kuiitwa hilo jina hapana tatizo ni mazingira anao niitia hilo jina, inakua kero, kwamiaka yote ananiita hivo tukia home sina shida nalo ila tukiwa msibani kwa ndgu na jamaa nikama linaleta karaha na chuki kwao.Kazi kweli kweli Mwanaume mzima una miaka 11 kwenye ndoa unaomba ushauri wa kitu kidogo kama hiki? Unataka akuite Paka au?
tafadhali Mimi sio dogo,,,,,,, Sweet Moment. Fanya Faster dogo,,,, unachelewa kuitwa majina mazuri huku.
Hata shetani huwa hapendi kusikia majina matamu kama hayo. ila Mungu ni mzuri sana, atampigania na maadui watakaojiinua dhidi yake.Mkuu ni kweli ila watu wengi wana gubu watamchukia hata pale utakapo hitaji msaada wao hawatampa kwasbb ya chuki zao binafsi, ndg zetu wengi hapendi wapandanao
Njoo nikuombeeDunia na waadunia wananibadirisha. Niokoe pls
kama mkiwa msibani, mwambie shem akuite kwa upole huku amelegeza sauti kidogo,,,,,,, "HONEYYYYY" 😁😁😁 itasound poa sanaSoma hoja yangu sio kuiitwa hilo jina hapana tatizo ni mazingira anao niitia hilo jina, inakua kero, kwamiaka yote ananiita hivo tukia home sina shida nalo ila tukiwa msibani kwa ndgu na jamaa nikama linaleta karaha na chuki kwao.
haya Mkuu.tafadhali Mimi sio dogo
Nije sehemu gani?Njoo nikuombee
KulekuleNije sehemu gani?
Milango na madirisha imefungwaKulekule
Wewe si una funguo za nyumba ile nyingineMilango na madirisha imefungwa
Sina nilipoteza Key Holder, kama wewe unao fungua nyumba ya uani au hiihii ya barabarani 😅Wewe si una funguo za nyumba ile nyingine
,,,,,Majina Romantic huwa yananguvu, mvuto na ushawishi wa kimahaba kati ya wapendanao.Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.
Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my......
Sasa majuzi tulienda nyumbani kijijini kuhani pia na tulikuwa na kikao cha kujuana kama wana ukoo, ni mara yake ya kwanza kuenda nae kijijini kwetu, ila jambo lilonikera kwa mke wangu ni kunifuata fuata kila napoenda kukaa na ndugu kupiga stori na asiponiona kuniita kwa sauti honieeee ndgu wote walikua kimya, kumsikiliza yeye hana muda wa kushangaaa au kushituka kabisa.
Kuna shangazi moja anae mfuata Baba angu kaniita na kuniuliza mwanangu ulibadili jina siku zote tunakujua unaitwa fulani au baba fulani mbona nasikia jina jipya? Sikumpa jibu la moja kwa moja......
Sio kutokua romantic nataka kumwambia mke wangu aache kuniita hivyo mbele za watu hususani ndugu zangu na staki kumkatisha tamaa kwasababu ananiita kwa hisia kali (out of emotion) ila hajui kujicontrol kujua wapi pakuniitia hayo majina yake, naomba ushauri nimuanze je huyu mke wangu bila kumuathiri kihisia na kisaikolojia.
Basi pambana na hali yako [emoji16][emoji16]Sina nilipoteza Key Holder, kama wewe unao fungua nyumba ya uani au hiihii ya barabarani [emoji28]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ila mkuu hao majilani tunawategemea kwa mambo mengi, sio vizuri kuwaudhi.,,,,,Majina Romantic huwa yananguvu, mvuto na ushawishi wa kimahaba kati ya wapendanao.
Majirani huwa hawapendi. ila hatuishi kwaajili yao. mimi mpaka leo naitwa jina langu la asili. utasikia "jambaaaa"[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Acha hivo bwana😞Basi pambana na hali yako [emoji16][emoji16]
😂😂😂😂