Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

Kazi kweli kweli Mwanaume mzima una miaka 11 kwenye ndoa unaomba ushauri wa kitu kidogo kama hiki? Unataka akuite Paka au?
 
Kazi kweli kweli Mwanaume mzima una miaka 11 kwenye ndoa unaomba ushauri wa kitu kidogo kama hiki? Unataka akuite Paka au?
Soma hoja yangu sio kuiitwa hilo jina hapana tatizo ni mazingira anao niitia hilo jina, inakua kero, kwamiaka yote ananiita hivo tukia home sina shida nalo ila tukiwa msibani kwa ndgu na jamaa nikama linaleta karaha na chuki kwao.
 
kama mkiwa msibani, mwambie shem akuite kwa upole huku amelegeza sauti kidogo,,,,,,, "HONEYYYYY" 😁😁😁 itasound poa sana
 
Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.

Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia kuwa la utani na upendo na c mind sana na mimi humiita my......

Sasa majuzi tulienda nyumbani kijijini kuhani pia na tulikuwa na kikao cha kujuana kama wana ukoo, ni mara yake ya kwanza kuenda nae kijijini kwetu, ila jambo lilonikera kwa mke wangu ni kunifuata fuata kila napoenda kukaa na ndugu kupiga stori na asiponiona kuniita kwa sauti honieeee ndgu wote walikua kimya, kumsikiliza yeye hana muda wa kushangaaa au kushituka kabisa.

Kuna shangazi moja anae mfuata Baba angu kaniita na kuniuliza mwanangu ulibadili jina siku zote tunakujua unaitwa fulani au baba fulani mbona nasikia jina jipya? Sikumpa jibu la moja kwa moja......

Sio kutokua romantic nataka kumwambia mke wangu aache kuniita hivyo mbele za watu hususani ndugu zangu na staki kumkatisha tamaa kwasababu ananiita kwa hisia kali (out of emotion) ila hajui kujicontrol kujua wapi pakuniitia hayo majina yake, naomba ushauri nimuanze je huyu mke wangu bila kumuathiri kihisia na kisaikolojia.
,,,,,Majina Romantic huwa yananguvu, mvuto na ushawishi wa kimahaba kati ya wapendanao.
Majirani huwa hawapendi. ila hatuishi kwaajili yao. mimi mpaka leo naitwa jina langu la asili. utasikia "jambaaaa"🤪🤪🤪
 
,,,,,Majina Romantic huwa yananguvu, mvuto na ushawishi wa kimahaba kati ya wapendanao.
Majirani huwa hawapendi. ila hatuishi kwaajili yao. mimi mpaka leo naitwa jina langu la asili. utasikia "jambaaaa"[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ila mkuu hao majilani tunawategemea kwa mambo mengi, sio vizuri kuwaudhi.
 
Back
Top Bottom