Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

Kwamba shangaziyo alijua umebadili jina,day nimecheka sana.
Mashangazi wana balaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mzee wa jamaa hakuona tatizo ila dada zake sasa.. Lakini pia sio tabia nzuri kwamba Kuonesha wao ndo wanapendana sana au ndp uzungu??? Hapo msibani alisikia nani mwingine wanaitama hivyo na mumewe???
 

Ndoa miaka 10 unataka kugundua nini mkuu?situlishakubaliana ndoa ni miaka 3 tu
 
Ndugu zanguni wa JF baadhi mtaniwia radhi wale ambao hawa tapendezwa na hulka yangu hi.

Nimeka na mke wangu sasa takribani miaka 11 baada ya ndoa ya kwanza kushindikana, huyu mke wangu nyumbani huniita hny jina ambalo na lichukulia
Jaribu kujitahidi uwe mbali na ushamba ili ufurahie maisha yako na mkeo
 
Siku ukifukuzwa kazi uliyonayo hapo ndipo itakapokuwa mwisho wa jina hilo.

Vumilia mkuu..
 
Na mie nashangaa hapo. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa kabisa mkuu,Mimi mtoto wangu wa kiume nikisikia anamwita mama yake mamiiii ile ya kuvuta nakasirika kinoma. Mkishakuwa na watoto itaneni baba au mama Fulani inatosha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu lol
 
Sasa si waachane, kila mtu atafute wa type yake lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…