Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Kazi za kufanya nizitoe wapi zaidi ya kupika na kupakua ana dip ila hataki kwaajiriwa anasema ameridhika kuka home
Uzi wako umenichekesha mwanzo mwisho, hebu kaa tuliza akili uzungumze na mkeo, kuna leo na kesho, ni vizuri akajishughulisha kidogo ili hata upande wako mambo yanapokua mabaya familia isiyumbe,akiwa ba kitu cha kumweka bize hata hizo simu za mara kwa mara hutazisikia.
 
Mkuu kama hutajali niunganishie kwa watoto wake ili nioe nimeipenda hiyo mbengu
 
Wow
You are the best nΓ‘ umesema kitu cha muhimu sanaaaa
 
Umempata mke bora.Enjoy maisha Mkuu!😝😝😝😝😝😝
 
Ukikuta wewe ni introvert halafu uwe na mwanamke anataka attention yako kila saa utafikiri umembeba mgongoni unapata tabu sana.
Sasa introvert wenzenu huwa hamuwaoni? Humo ndani muwe kama mpo msibani.
 
Pole sana mkuu, kweli hii hua inakera sana, japo mimi sio ndoa ila ni mahusiano, mtoto wa kike alinipenda yani kila muda anataka time yangu, akimaliza kukupigia ataanza kuku chatisha, akimaliza hapo atakuja whatsapp hapa ndo usiombe akukute online,, ukimwambia sasa hivi nipo bize basi ananuna eti humpendi.

Unakuta kuna muda lazima u spend time alone, ndugu, marafiki n.k lakini yeye hajui hilo mfano nikiwa na wadau tuna watch ball unashangaa huyo kakutafuta ukimwambia naangalia mpira ananuna anakwambia kwa hiyo mimi na mpira nani wa muhimu?, ukimwambia nipo na jamaa zangu tuna discuss mambo yetu utasikia kwa hiyo mimi na hao jamaa zako nani wa muhimu.

May it's love but she complicate things.
 
Niongezee nini kwa mfano,akishika maneno haya ataiona mbingu kupitia ndoa,"hakuna mwanamke asiyependa attention isipokuwa wengi wao washajikatia tamaa"emu screenshort huu ushauri alafu uwe unaupitia mara kwa mara na uufanyie kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…