Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Jamaa hajui Mahaba huyuMkipendwa mpendeke konokono nyie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa hajui Mahaba huyuMkipendwa mpendeke konokono nyie!
Umekuja kuomba ushauri hapa au umekuja kufanya nini? Sasa umeanzisha uzi wa nini? Kumsema tu mkeo ama?Hapana ana nikera sanaa kama a anapenda atafute fashioni nyingine yakunipenda sio kua mateka wake,.......
Hongera mkuu kwa ushauri mwanana kwa mwamba. Haya ndo mambo tunayoyategemea humu. Safi Sana.Umepata mke mwema sana. Piga magoti hapo ulipo na umshukuru Mungu. Ukisikia wenzio mambo wanayopambana nayo huko kwenye ndoa nadhani ungewaomba mods tu waufute uzi huu.
aharia watakusaidia...na wanajua kutoa attention na ku-care hao usiombe....Usiwape hiyo nafasi maadam unajua weakness ya mkeo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee ....mpka atakuwa anamkimbia yeye sasa mashine ikizidiPiga mashine tu, we akikulalia vua vyupi piga mashine
ungemkomalia ...Siku akipata magonjwa kama kisukari na BP itakuwa shda kwenye gharama za matibabu na inaamika nchini japan na china kuwa"Nilimuoa na 105kg nikapambana nikaishia kwenye 95kg ni mvivu wa mazoezi, na anapenda kula vuzuri tu nakaona isiwe shida nikamuacha hivo.
mkuu embu jaribu kuishi naye kwa akili.. hata vitabu vya dini vilisema tuishi nao kwa akili.. usijaribu kushindana nao au kujaribu kutumia nguvu nyingi. tumia akili za kiume na ujanjaHivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3, sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.
Yaani naongea nae hata leo asubh kabla ya uuzi hu, ila anatoka tu kwa masaa sio kwa siku anarudi vile vile,.. simu nilisha mkataza kama hamna issue usipige akiacha sanaa nikama massa matano baada ya hapo atakubipu tu, unampigia unamuuliza nini, atakuambia simu imejipiga yenyewe loh, ule ni udhaifu sio mahabahUmekuja kuomba ushauri hapa au umekuja kufanya nini? Sasa umeanzisha uzi wa nini? Kumsema tu mkeo ama?
Ulishawahi kuongea naye na kumuomba akupe privacy yako? Alisemaje? Na kama alikataa ulichukua hatua gani kama mwanaume?
Nimeanza kuhisi pengine tatizo ni wewe na siyo mkeo!
mkuu unaogopa kushusha mzigo mbele ya wife[emoji23][emoji23][emoji23]...Mahaba ya kizidi yanakua kero mtu unaenda chooni anakuchungulia eti mahaba i need my privacy back plz
Unataka ale vibaya wewe utavila?Nilimuoa na 105kg nikapambana nikaishia kwenye 95kg ni mvivu wa mazoezi, na anapenda kula vuzuri tu nakaona isiwe shida nikamuacha hivo.
Baba, mie nimeshindwa paka tulipata ugomvi akasema namisimaga kwa kula vzri kwangu, siko tayari kuanzisha vita nyingine mda ukifika kila mtu atabeba msalaba wake.ungemkomalia ...Siku akipata magonjwa kama kisukari na BP itakuwa shda kwenye gharama za matibabu na inaamika nchini japan na china kuwa"
Kadri mtu anavyokuwa na uzito mkubwa ndivyo anapunguza life span yake....au unataka kuwa mgane mkuu....
mpigishe tizi walau awe na 80KG
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Mkuu if you only knew..... if you only knew akili zetu wanawake zilivyo.....ungemuenzi mke wako na ukaishi nae na mapungufu hayo.Yaani naongea nae hata leo asubh kabla ya uuzi hu, ila anatoka tu kwa masaa sio kwa siku anarudi vile vile,.. simu nilisha mkataza kama hamna issue usipinge ukiacha sanaa nikama massa matano atakubipu tu, unampigie unamuuliza nini, atkuambia simu imejipiga yenyewe ule ni udhaifu sio mahabah
Sasa hapo cha ajabu kitu gani privacy ya nini hali ya kuwa mshaonana vikojoleo.Mahaba ya kizidi yanakua kero mtu unaenda chooni anakuchungulia eti mahaba i need my privacy back plz
kwa hiyo unataka kuweka term and conditions za kupendwa. Yaani unampangia mtu njia za kukuonesha upendo, sio fairHapana ana nikera sanaa kama a anapenda atafute fashioni nyingine yakunipenda sio kua mateka wake,.......
We ulipelekwa taratiiibu adi ukajua wanaume ni konokonoMkipendwa mpendeke konokono nyie!
So how much should I sacrifice for my freedom again its too much, i need meditationMkuu if you only knew..... if you only knew akili zetu wanawake zilivyo.....ungemuenzi mke wako na ukaishi nae na mapungufu hayo.
We are very conniving... we are smarter than you think. Na asingekuwa anataka attention angekuwa anacheat bila shaka 100 kwa 100 kubali kataa.
Hatuwezi kubali hiyo attention kama tunacheat. Subutu, ili tustuliwe love bites mwilini, Ili tustukiwe tuna harufu tofauti.
Mkuu unatujua au unatuskiaa?