Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipiga kila wakati wanakukimbia wenyewe hawa wapate kupumzika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee ....mpka atakuwa anamkimbia yeye sasa mashine ikizidi
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Nampenda ila am not that kind of person wa ku-showoff ningekua cmpendi nisinge zaa nae hao watoto wote na pia nisingekua na mjali ningekua nimesha mtoa ila anani kera sipendi kufugwa kama mnyamakwa hiyo unataka kuweka term and conditions za kupendwa. Yaani unampangia mtu njia za kukuonesha upendo, sio fair
naelewa upendo kila mtu anaupenda ila attachment huwa ni tatizo ila si kwa kiwango ulichofikia. Inachoonekana huyo mwanamke anakupenda kuliko unavyompenda maana toka mwanzo wa post hadi mwisho sijaona sehemu yoyote uliyoonesha affection kwake
Usimuone fala au mjinga na usidhani kila unapompa negative reaction haumii. Anaumia sana ila since anakupenda anamezea na kukuoneshea tabasamu bila hata kukuropokea chochote..siku ukiyaona mabadiliko unayoyatamani bhasi ndio ufa kwenye ndoa yenu umeanza
all the best
mkuu swala la ndoa ndo kufugana,Nampenda ila am not that kind of person wa ku-showoff ningekua cmpendi nisinge zaa nae hao watoto wote na pia nisingekua na mjali ningekua nimesha mtoa ila anani kera sipendi kufugwa kama mnyama
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mie nina misimamo yangu na pia na tambua majukumu yangu nikifikia hatua tunapishana ndani ya nyumba atusemeshani ni hatari, siwezi kudumu hata mwezi on earth we live once kwanini niteseke na mtu?Aisee hadi nakuonea wivu et. Huyo ndio mke sasa tena miaka 11 ya ndoa lakin bado tu ana moyo wa hvyo, wenzio wanateseka sahih ndan watu wanapishana kama hawajuani et
Wape wape vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri yao!!!Mkipendwa mpendeke konokono nyie!
Okeey kuzaa na mtu au kumjali kama mama watoto wako haina connection yoyote na kumpendaNampenda ila am not that kind of person wa ku-showoff ningekua cmpendi nisinge zaa nae hao watoto wote na pia nisingekua na mjali ningekua nimesha mtoa ila anani kera sipendi kufugwa kama mnyama
Kwa miaka yote hiyo takribani 12 umechukua hatua gani ili kukabiliana na changamoto hii uliyoleta hapa?Nampenda ila am not that kind of person wa ku-showoff ningekua cmpendi nisinge zaa nae hao watoto wote na pia nisingekua na mjali ningekua nimesha mtoa ila anani kera sipendi kufugwa kama mnyama
Mkuu i rest my case but you really need to fix yourself as much as you want to fix her.. You need to blend na hii sio matter ya yeye kubadilika ni hata wewe "mr Introvert".Siwezi wake wawili na value my prime time kiliko mchepuko, I need to rest and meditate wana wake ni wale wale.
Mkuu nilisha wahi kutenga chumba nikajifungia yule mwana mke (mke wangu) alipiga mlango kwa funjo kama masaa mawili ikawa kero zaidi nikafungua na hasira nikaomba mungu anisimamie nisi mudhuru,.....nikamuuliza nini unapiga mlago kama kichaa akanijibu nilifikiri umefia ndani nikaacha tu ckumjibu nikampigia mama angu simu kupoteza hasira, nasikumueleza hilo tukioWakati pekee Mwanaume hutaka kuwa karibu na mwanamke ni ule wakati wa kumchakata tu.
Sasa wakati unafikiria mambo ya maisha yeye anakuja kuning’inia shingoni!
Mkuu tenga kona yako hapo nyumbani, kochi au chumba kabisa. Ukiwa hapo weka sura ya mbuzi, Mjengee utamaduni kwamba ukikaa hapo asisogee karibu.
Hata wahenga walikuwa na “kiti cha baba”
Sasa wewe mpotezee halafu halaf wenzako wampe attention. Utarudi Tena hapaHivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3, sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.
Bas tenga mda wa kuwa nae kila siku mbali na kitandan na tenga mda wa kumpigia kila unapokuwa mbali na home. Ukiona uwe mbadirisha mtu badirika wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mie nina misimamo yangu na pia na tambua majukumu yangu nikifikia hatua tunapishana ndani ya nyumba atusemeshani ni hatari, siwezi kudumu hata mwezi on earth we live once kwanini niteseke na mtu?
Kale kawimbo kanaimbaHivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3, sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.
Hapana mkuu nimeishi na matumaini kwamba atakuja kubadilika kwa but not naona hiyo tabia imekua sugu habadiliki na suweji kuipeleka kwa wazazi isipo kua hapa jf tu ndokuna variety ya watu ndo wanaweza kunielewa, wengi watz hawajui umuhimu wakua na mda wa privacyKwa miaka yote hiyo takribani 12 umechukua hatua gani ili kukabiliana na changamoto hii uliyoleta hapa?
Isijekuwa wewe mwenyewe ni sehemu ta tatizo
Mkuu hiyo sio issue aende tu atapata propotionate repercussion ya kitendo hicho atakacho tenda mie sitishiwi na hayo mambo ajaribu tu idont look back kwa mwanamke mzinifu namimi siko hivoSasa wewe mpotezee halafu halaf wenzako wampe attention. Utarudi Tena hapa