miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Kumpatisha mimba furing holidays siyo issue. Huyo unaishi naye kila siku. Hizo ndo siku za kumcherish. Fantasy ya siku mbili ndo unaona umemaliza?Ho my God nina mapezi buan na huyu bonge wangu, hamna mwaka ambao cijamtoa holiday ya 3-7days isipo kua miaka miwili ya jpm vyuma vilivo kanza sanaa nilishindwa kutenga kiasi mimba za watoto wangu wote amezipata tukia holiday, ndo navo penda, ila ananikera kunifuatilia fatilha mie mtaji wangu ni kichwa changu kinahitaji kupumzika.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app