Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Huyu mwanaume ana tatizo kubwa hafu ana msingizia mke
Madam let's honour other pple's freedom of expression plz.....tusipagiane vya kuleta hapa hatufanani wala hatutafanina just respect my view and expression plz I wll do the same to you.
 
Hahahahahhahaha.. nimecheka saaaanaaaaaa ! Bonge anasumbua sio hahahah! mapenzi kumbe yakizidi nayo ni shida!

Take it easy bro , Mke wako anakupenda sana na wewe ndo fahari yake! Mpende mkeo, wenzako wanatafuta hayo mapendi wanakosa
 
Hapana ana nikera sanaa kama a anapenda atafute fashioni nyingine yakunipenda sio kua mateka wake,.......
Hapo umeshauriwa kuwa na mawasiliano juu ya hilo suala baina yenu. Umueleweshe kwa upole na kimahaba.
 
Imagine.. yaan haaana mapenzi kabisa na mkewe. Hatakubali hili. Yaan anamwona mkewe kama kero. Hapa anatafuta justification ya kumuacha. Kuna siku atamtafutaaa. Shouts out to us chubby girls[emoji91][emoji91][emoji91][emoji4] we are lovely

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Tena wanasema chubby girls hawanaga makasiriko wala roho mbaya
 
Mkuu nilisha wahi kutenga chumba nikajifungia yule mwana mke (mke wangu) alipiga mlango kwa funjo kama masaa mawili ikawa kero zaidi nikafungua na hasira nikaomba mungu anisimamie nisi mudhuru,.....nikamuuliza nini unapiga mlago kama kichaa akanijibu nilifikiri umefia ndani nikaacha tu ckumjibu nikampigia mama angu simu kupoteza hasira, nasikumueleza hilo tukio
Huyo mkeo ana kichaa kibaya sana mpeleke hospital huyo moja ya dalili za kichaa ni wivu uliopitiliza na usumbufu ka huu, mganga mmoja alizungumza juzi kati kwenye siku ya mental health, na huyo wako yuko hivo maana duh
 
Hivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3.

Sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.
Aisee umepata mke , hongera kwa hilo. Jitahid uwe romantic hata kama hujazoea, wanawake n kama watoto wanapenda kubembelezwa. Kisingizio cha sisi wanaume n kwamba tuko busy, ila hakuna kitu kizuri kama kutenga mda kwa ajili yake. NAOMBA KUWASILISHA
 
Aiseee, fix yourself. Fix yourself before u get fixed out. Iko siku utantafuta na usinsikie wala kumuona. Kuna siku utalia na kisaga meno. That lady is so innocent. Sasa litafute. Kwa akili yangu ya ndani huna mapenzi naye. Hata siku moja mtu unayempenda u will never feel bored

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Dah ila huyu wake ni mgonjwa mwenzake kajifungia kupumzika yeye anaenda kugonga 2 hours ka si mgonjwa nini aisee
 
Hapana ana nikera sanaa kama a anapenda atafute fashioni nyingine yakunipenda sio kua mateka wake,.......
kiongozi hapo nadhani kuna kitu unamiss,inawezekana kabisa lugha ya mapenzi ya mkeo ni hiyo kuwa close na wewe na wewe lugha yako ya mapenzi ni tofauti na ndo mpishano unapoanzia hapo,sasa wewe kusema atafute njia nyingine ya kukupenda maanake unataka akose kuona yumo penzini,kwa sababu lugha yake ya mapenzi ni ukaribu na wewe na ambao huutaki,ukimzuia sana au kumkatalia hicho na akaona akupe ukitakacho amini mkuu mkeo ataishi na wewe akiamini humpendi,hata umfanyie nini na hii ni kwa sababu vingine vyoote unavyovifikiria wewe sio lugha yake ya mapenzi,kwa hiyo kaa utafakari chagua kusuka au kunyoa,ujifunze kumzoea au utumie nguvu kumzuia huo ukaribu aishi na wewe akiamini hauna mapenzi naye tena.
 
Mkuu unapata na mtu wa kucrack nae jokes alafu bado unalalamika, tuulize wenzio anyway kwenye miti hakuna wajenzi
She is nice katika hayo ila citaki niwe mateka wake, ila cinaujanja ntaendelea tu kumfokea ili nipate hata lisaa la ku-compos, issue yangu sio nzito kwamjibu ya wana jf japo mimi ina nikera kweli kweli freedom freedo ni muhimu kiliko hata pesa kwangu
 
Dah wanaume mna shida sana. We inaonekana ndo mwenye shida. Angekuwa mtu wa kushika yake ungekuja hapa kulia lia tena.
 
She is nice katika hayo ila citaki niwe mateka wake, ila cinaujanja ntaendelea tu kumfokea ili nipate hata lisaa la ku-compos, issue yangu sio nzito kwamjibu ya wana jf japo mimi ina nikera kweli kweli freedom freedo ni muhimu kiliko hata pesa kwangu
Heri umetambua hilo& thanks to Jf members, amini hilo issue yako sio kubwa hata kidogo
 
Huyo mkeo ana kichaa kibaya sana mpeleke hospital huyo moja ya dalili za kichaa ni wivu uliopitiliza na usumbufu ka huu, mganga mmoja alizungumza juzi kati kwenye siku ya mental health, na huyo wako yuko hivo maana duh
Mkuu naona wewe umenielewa nimpeleke hospitali gani, na niweleze je ni aibu kdg nipe mbinu basi
 
Umekuja kuomba ushauri hapa au umekuja kufanya nini? Sasa umeanzisha uzi wa nini? Kumsema tu mkeo ama?

Ulishawahi kuongea naye na kumuomba akupe privacy yako? Alisemaje? Na kama alikataa ulichukua hatua gani kama mwanaume?

Nimeanza kuhisi pengine tatizo ni wewe na siyo mkeo!
Hiyo mbuzi pori itakuumiza kichwa rafiki
 
Hapana ctamuacha ila nataka kujua kama na wezangu wana experience haya ya kwangu,......kupata wife material sio rahisi mambo mengine ana yafanya poa, anapika vzri she is nice in bed so waterly though hawezi×3, ana mapezi na watoto ni msafi, nk ila hataki kunipa uhuru nyumbani nikifungua laptop anakasilika ni kika kimya anaaza kiniuuliza unawazaa nini? nikilala anagonga mlango paka nashituka yaani in short ana ni kera ineed my space
Ongea nae pole pole kwa kumuelekeza. Na mpe nafasi ya kupata uaminifu kwako. Kuna mambo unafanya ama ulifanya yamemtoa ktk imani jui yako

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mukitupataga mnakuja kutuleta kwenye threads kama hivi[emoji23][emoji23] shouts out to my ex. Weee ni kajingaaa. Sema nilikuelewa sana

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hahaha hapana bhana,wengin tunapenda hizo,fikiria wamekaa miaka 11 lakini bado mke anampenda jamaa na mapenzi kama ya uchumba,hiyo ni bahati kwakweli.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom