2sexy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2020
- 682
- 1,529
Kilo 105 😂😂Nilimuoa na 105kg nikapambana nikaishia kwenye 95kg ni mvivu wa mazoezi, na anapenda kula vuzuri tu nakaona isiwe shida nikamuacha hivo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilo 105 😂😂Nilimuoa na 105kg nikapambana nikaishia kwenye 95kg ni mvivu wa mazoezi, na anapenda kula vuzuri tu nakaona isiwe shida nikamuacha hivo.
Ewaaaaa.. we are very adorable. Mitaaa mingine tunakuaga vichaa balaa. Ila kwenye mapenzi hatunaga kazi mbovu. Sema wanaume wenyewe ndo kama huyu sasa hapaTena wanasema chubby girls hawanaga makasiriko wala roho mbaya
unakaza ubongo sijaandika utafute mchepuko nimeandika mtafutie mchepukoSiwezi wake wawili na value my prime time kiliko mchepuko, I need to rest and meditate wana wake ni wale wale.
Tatizo liko hapa, mwanaume hamu ya mapenzi imemuisha sababu mke kawa kibonge, mwanamke hajiamini kwa mumewe sababu ya ubonge wake hivyo anakuwa na hofu ya huenda havutii machoni pa mumewe hivyo Ni Kila wakati kuhakikisha anakuwa nae karibuHhhah kilo 95 we una kilo ngapii...!!
[emoji23][emoji23][emoji23] si alijua amefia huko. Kwani alimuambia anapumzika? Mwenyewe nikilala sijasikia mamangu anakohoa hata kidogo naamka kumuitaaa. Nagongaaa. Sitaki ujinga na watu wangu. Nigonge 2 hrs umekausha tu na uko mdani kimya si useme nipo napymzika kidogo? Mimi ningeingia na teke. Kama kazidiwa huko je. She is right and she caresDah ila huyu wake ni mgonjwa mwenzake kajifungia kupumzika yeye anaenda kugonga 2 hours ka si mgonjwa nini aisee
Kutoka mwanzoni iko vile cijafanya issue yoyote ya kuni suspect some time nikiwa citaki anisumbue kwa simu simu zote na muachia home am transparent towards her sina mambo ya kandokando na siependi yata nipotezea mda zaidiOngea nae pole pole kwa kumuelekeza. Na mpe nafasi ya kupata uaminifu kwako. Kuna mambo unafanya ama ulifanya yamemtoa ktk imani jui yako
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Sasa hapa ndo unataka ndoa ife. Nakuapia. Jaribu utanambia. Ni wewe ndo hutaki lifestyle yake. Haumwi. Usijaribu. We hayaMkuu naona wewe umenielewa nimpeleke hospitali gani, na niweleze je ni aibu kdg nipe mbinu basi
[emoji23][emoji23] mbona una hasira umeleta jambo unataka tuandike kilichoko kichwani wakati tumetofautiana wewe una depression plus stress na mkeo ana matatizo ya akili ndio maana mnashindwa ku matchMadam let's honour other pple's freedom of expression plz.....tusipagiane vya kuleta hapa hatufanani wala hatutafanina just respect my view and expression plz I wll do the same to you.
Yaan hili hajaliona. Wanasemaga ktk ndoa mukishavuka 7 years baasi. Kuachana ni ngumu kidogo. Huyu 11 yrs anafanya masikhara. Yaan sijaona kbs tatizo la mkeHahaha hapana bhana,wengin tunapenda hizo,fikiria wamekaa miaka 11 lakini bado mke anampenda jamaa na mapenzi kama ya uchumba,hiyo ni bahati kwakweli.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23] tena konokono wa bwawaniMkipendwa mpendeke konokono nyie!
Daah, nimejisikia vibaya. Lets exchange contacts nshomile. I will be saying hello.Watu mna bahati Duniani humu....
Mimi tofauti na mom yangu mzazi na the only sister I have inaweza kupita mwezi Bila kupigiwa simu na mtu... Mimi ndo hupigia watu kuwajulia hali but wao hawanipigii.
Natamani ningepata mke Kama wako aisee
Tenga muda mukaongelee mbali zaidi. Yeye anakuona wewe ndo kila kitu kwake. Usija fanya akarudisha upendo wako kwa nduguze. Utaumia. Utakua last optionKutoka mwanzoni iko vile cijafanya issue yoyote ya kuni suspect some time nikiwa citaki anisumbue kwa simu simu zote na muachia home am transparent towards her sina mambo ya kandokando na siependi yata nipotezea mda zaidi
Umepata mke mwema sana. Piga magoti hapo ulipo na umshukuru Mungu. Ukisikia wenzio mambo wanayopambana nayo huko kwenye ndoa nadhani ungewaomba mods tu waufute uzi huu.
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Kimsingi wanawake wote wanapenda attention sema tu wengi wamejikatia tamaa kwa sababu ya waume zao kutojali. Na wanawake wengi walio katika ndoa wanachapwa nje sana siyo kwa ajili ya pesa bali kwa kupewa attention tu, kusikilizwa, kujaliwa na kuheshimiwa.
Narudia tena: wewe umepata mke mwema na anayekujali na kukupenda. Mhakikishie tu kuwa unampenda sana na kwamba upo kwa ajili yake mpaka kifo. Vizawadi vidogo vidogo na ukipata mwanya huko kazini mpigie...hata kama ni kusema tu "Niko mkutanoni lakini nilitaka tu kukukumbusha kuwa nakupenda sana mke wangu" na kukata simu inatosha. Na siku hiyo kama una kahela mkononi mchukulie kakitafunwa kake akapendako...hata kama ni kipande cha nanasi au chips (ili azidi kuwa bonge zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]). Ndoa zinahitaji kazi na una bahati huyo wa kwako angalau unajua anachohitaji ili kuwa na furaha. Wengine (hasa vimbaumbau) ni minuno tu na ghubu kwa kwenda mbele hata tatizo hulijui.
Akiona kuwa unamjali sana; na akawa na uhakika kuwa penzi lako kwake halijapungua; na kwamba huna wengine huko nje hata ukimwambia kuwa waifu leo naomba privacy kidogo nifanye hiki...na kibusu kidogo ukampa au ukamparaza kikofi chokonozi cha takoni - atakuelewa tu...na ukipata mwanya na wakati sahihi unaweza kuongea naye tu kwa ustaarabu kuhusu nawe kuwa na privacy yako sometimes. Atakuelewa...labda awe na matatizo mengine ya kisaikolojia.
Take care of that marriage my man. That's your duty na ukishindwa mabaharia watakusaidia...na wanajua kutoa attention na ku-care hao usiombe....Usiwape hiyo nafasi maadam unajua weakness ya mkeo!
Nipo Ndugu yangu...Umepotea mno jamani dah!
Au na wewe uko huko unapambana kupata attention ya hubby?
Hapo mke akishabadilika jamaa atakuja tena kuomba ushauri hapa,kuna vitu ni kushukuru Mungu kwakweli.Yaan hili hajaliona. Wanasemaga ktk ndoa mukishavuka 7 years baasi. Kuachana ni ngumu kidogo. Huyu 11 yrs anafanya masikhara. Yaan sijaona kbs tatizo la mke
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Yaani naongea nae hata leo asubh kabla ya uuzi hu, ila anatoka tu kwa masaa sio kwa siku anarudi vile vile,.. simu nilisha mkataza kama hamna issue usipige akiacha sanaa nikama massa matano baada ya hapo atakubipu tu, unampigia unamuuliza nini, atakuambia simu imejipiga yenyewe loh, ule ni udhaifu sio mahabah
Huyu wake ana shida bana imagine mtu katoka kazini kavurugwa anapumzika na kamwambia yeye anagonga tu kisa anahisi kafa na hapo ukute alikuwa ana mwambia amwache atulie yeye hasikii, saa ingine kuwa na mpenzi asiye soma alama za nyakati inakuwa ina bore, wangu huwa yuko busy anachoka mwanzo nilikuwa namsumbua ila nikaja mwelewa nikawa Nampa space apumzike.[emoji23][emoji23][emoji23] si alijua amefia huko. Kwani alimuambia anapumzika? Mwenyewe nikilala sijasikia mamangu anakohoa hata kidogo naamka kumuitaaa. Nagongaaa. Sitaki ujinga na watu wangu. Nigonge 2 hrs umekausha tu na uko mdani kimya si useme nipo napymzika kidogo? Mimi ningeingia na teke. Kama kazidiwa huko je. She is right and she cares
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kwahiyo alitegemea maiti ndo ifungue mlango? ni fujo nakutaka attention yangu.......paka nafikia hatua ya kumtuma kununua vitu mbali in town kwasabb najua kuna foreni atachelewa ili nipate mda wakupumzika peke yangu, anakata kuendesha gari eti liseni ya ydereva imeisha.[emoji23][emoji23][emoji23] si alijua amefia huko. Kwani alimuambia anapumzika? Mwenyewe nikilala sijasikia mamangu anakohoa hata kidogo naamka kumuitaaa. Nagongaaa. Sitaki ujinga na watu wangu. Nigonge 2 hrs umekausha tu na uko mdani kimya si useme nipo napymzika kidogo? Mimi ningeingia na teke. Kama kazidiwa huko je. She is right and she cares
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app