Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Mke wangu ananikera anataka attention yangu kila saa

Ho my God nina mapezi buan na huyu bonge wangu, hamna mwaka ambao cijamtoa holiday ya 3-7days isipo kua miaka miwili ya jpm vyuma vilivo kanza sanaa nilishindwa kutenga kiasi mimba za watoto wangu wote amezipata tukia holiday, ndo navo penda, ila ananikera kunifuatilia fatilha mie mtaji wangu ni kichwa changu kinahitaji kupumzika.
Kumpatisha mimba furing holidays siyo issue. Huyo unaishi naye kila siku. Hizo ndo siku za kumcherish. Fantasy ya siku mbili ndo unaona umemaliza?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua ila duh iko vile vile, kwa siku anaweza akakupigia simu mara kumi usipo pokea ataendelea kubipu paka utakavo mpigia, na ukimpigia na kumuuliza kuna jimpya anasema hamna na kusalimia tu, weekend hamna ku concentrate au ku-compose ili upange mishe zako za j3.

Sio kwamba anapenda yale mambo mengine mnayo fikiria hayo anashibishwa kweli kweli ila bado anataka awe karibu nami kila moment, au kila wakati, kupumzika huwezi ikienda chumbani huyu hapo ukija sebuleni anakulalia arafu ni bonge ukimwambia unaniumiza anasema kumbe unipendi na wewe sio ramantic duh, akikutumia sms atatuma taarifa nusu paka umtumie sms zingine zaidi ya mbili kupata taarifa kamiri.......na kumuacha siwezi hiyo sio sabb ya kuacha mke wa watt wako, ila ni kero kweli kweli.

[emoji3][emoji3][emoji3]ukimpenda mtu awe anakufanyia hivo raha sana!!! Kweli mapenzi n matamuu sana!! Tunatofautiana !! Mi ndo napenda aisee namuazima uyo mkeo hata wiki[emoji23]
 
Sijui upewe nini we jamaa, kuna watu wanatamani wathaminiwe kama wewe, huo space unayoutaka ni ya kuchati na mademu wengine, na yeye anajua ndo mana anakunyima hyo nafasi, hongera kwake. Eti unafikiri kumuacha mkeo kisa kaonesha upendo?? Kiazi kweli we jamaa
 
Imagine... yaan hampens kbs mkewe. Anamwona keroo. Hapa anatafuta justification ya kumuacha. Aliexpect tutamsupport kwa hili ila imekua tofauti. Atakataa ila kuna siku atamtafyta na asimpate

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hapana ctamuacha ila nataka kujua kama na wezangu wana experience haya ya kwangu,......kupata wife material sio rahisi mambo mengine ana yafanya poa, anapika vzri she is nice in bed so waterly though hawezi×3, ana mapezi na watoto ni msafi, nk ila hataki kunipa uhuru nyumbani nikifungua laptop anakasilika ni kika kimya anaaza kiniuuliza unawazaa nini? nikilala anagonga mlango paka nashituka yaani in short ana ni kera ineed my space
 
Ho my God nina mapezi buan na huyu bonge wangu, hamna mwaka ambao cijamtoa holiday ya 3-7days isipo kua miaka miwili ya jpm vyuma vilivo kanza sanaa nilishindwa kutenga kiasi mimba za watoto wangu wote amezipata tukia holiday, ndo navo penda, ila ananikera kunifuatilia fatilha mie mtaji wangu ni kichwa changu kinahitaji kupumzika.
Huko kufatiliwa fatiliwa ndio utulivu wa akili yako sasa siku akiondoka ndio utajua bila huo unaouona usumbufu kichwa chako hakipati utulivu
 
Kwani mapezi lazima yawe hivo kutompa mwenzio space, huo ni udhaifu sio mapenzi.

Nakuelewa mkuu, ila ujue tumetofautiana !! Mi mwenyewe mpenzi wangu yuko mbali akija yaan lazma alalamike cmpi hata sekunde mbwembwe kama zote!!

Wengine hawapendi so nakuelewa unavotaka upewe space uko sahihi
 
Umekuja kuomba ushauri hapa au umekuja kufanya nini? Sasa umeanzisha uzi wa nini? Kumsema tu mkeo ama?

Ulishawahi kuongea naye na kumuomba akupe privacy yako? Alisemaje? Na kama alikataa ulichukua hatua gani kama mwanaume?

Nimeanza kuhisi pengine tatizo ni wewe na siyo mkeo!
Huyu mwanaume ana tatizo kubwa hafu ana msingizia mke
 
mulwanaka nahisi umeishapata majibu kutoka kwa wanaume wenzio ni jins gan % kubwa wanataman kuwa na mke kwama wako sasa chunga jua unachezea dhahabu chooni
 
Yaani naongea nae hata leo asubh kabla ya uuzi hu, ila anatoka tu kwa masaa sio kwa siku anarudi vile vile,.. simu nilisha mkataza kama hamna issue usipige akiacha sanaa nikama massa matano baada ya hapo atakubipu tu, unampigia unamuuliza nini, atakuambia simu imejipiga yenyewe loh, ule ni udhaifu sio mahabah
Hanaga kazi za kufanya au jambo la kumu keep busy?
 
Hapana mkuu nimeishi na matumaini kwamba atakuja kubadilika kwa but not naona hiyo tabia imekua sugu habadiliki na suweji kuipeleka kwa wazazi isipo kua hapa jf tu ndokuna variety ya watu ndo wanaweza kunielewa, wengi watz hawajui umuhimu wakua na mda wa privacy
Mkuu, watu wa JF wakishakuelewa then, what next?
Kwenye uzi wako huu sijaona sehemu yoyote uliyoandika kwamba unaomba msaada wa ushauri nini ufanye zaidi ya kuandika kuwa mke wako anakukera kwamba anahitaji attention yako kila saa.
Umeandika as if unatoa taarifa kwa wanajukwaa ya yale yanayokusibu.
 
Wenzio wanalia na wake zao wanamambo ya ajabu,wewe mkeo anakujali Hivyo unaona kero,

Asee,inabidi kuwa Kati kwa kwati[emoji3061]
 
Back
Top Bottom